ACT Wazalendo; Tunaomba maoni yenu kukamilisha Ilani yetu ya Uchaguzi

ACT Wazalendo; Tunaomba maoni yenu kukamilisha Ilani yetu ya Uchaguzi

Zitto

Former MP Kigoma Urban
Joined
Mar 2, 2007
Posts
1,562
Reaction score
10,897
Ni mambo gani serikali ijayo yakifanya utahisi na kuona kuwa tunajenga Tanzania ya ndoto yako? #TanzaniaYangu. KUTOA MAONI: BONYEZA HAPA.

Chama chetu cha ACT Wazalendo kimedhamiria kujenga serikali shirikishi, inayosikiliza na kuheshimu mawazo na maono ya watanzania, Ilani ya chama chetu, inapaswa kuakisi ushiriki wa watanzania. Shiriki katika kutoa maoni yako #TanzaniaYangu. KUTOA MAONI: BONYEZA HAPA.

Just click the link - usijali lugha gani inakuja kwa link. Tunaomba maoni yenu
 
Last edited:
Tunaka chama chenye sera bora za uchumi,

Kilimo, upatikani wa maji vijijini, viwanda vitakavyo uza sana nje na sio kuuza malighafi,

Katiba mpya, sera bora za mabenk, bima za afya kwa kila mtu, wawekezaji wa kutosha toka nje

Zaidi ya yote elimu bure mpaka chuo kikuu.
 
Malizeni kwanza tofauti zenu braza Zitto.
Upinzani gani utamuondoa Magufuli ikiwa CHADEMA inajiona chama malaika na hakiko tayari kamwe kuona unaongeza mbunge act.

Na ni chama ambacho kinaamini chenyewe ndio upinzani ninyi ni mashushu wa ccm na kimejitahidi kuwaaminisha watu.

Wewe mwenywe haupo tayari kutoongeza ruzuku miaka ijayo katika chama chako.

Kiukweli unatambua wewe binasi na mbowe binafsi kamwe hamuwezi kumuondoa MH. JPM

JAMAA yako Mbatia nadhani ushajua muelekeo wake.

Sasa kama ni kweli mnahitaji mabadiliko tuleteeni ILANI YA CHAMA MUUNGANIKO WA KIPINZANI.

Vinginevyo itakuwa tunashauliana ni jinsi gani CHADEMA WAPUNGUZWE WABUNGE NA JINSI GANI ACT waongezwe WABUNGE.
 
Unataka kuongoza nchi hujui mwelekeo wako na wa chama chako?!!! Au unataka kutuchota nyota

AZAKI wana ilani tayari ambayo imetoka kwa wananchi kaipitie kisha fuatilia mijadala ya wanaotaka urais utaona ya kubeba

Kumbuka niliwaambia kuwa, maoni yenye nguvu ni mahitaji ya wachache ambayo hayapewi kipaumbele na hayakubaliwi na wengi

Mi nataka nchi yenye checks and balance madhuhuti tu
 
Naishi maeneo ya chamazi nataka kadi ya ACT kama kuna katibu wa maeneo hayo nipe direction
 
Ndoto yangu siku moja ni kuona Tanzania ikiwa na vyama vya siasa viwili tu na wagombea binafsi
 
Ungeenda kuwauliza wapiga kura wako jimboni,wanalalamika jimboni huonekani na bungeni wamesahau Kama ulikuwepo kazi kushinda kwenye balozi za kigeni
 
Mh Omwami Ruyagwa sisi wana mageuzi tunakuunga mkono kwa juhudi zako unazo zifanya kuhakikisha tunaiondoa ccm madarakani.

Lkn kwa leo kama watu wako wa karibu tunaomba umjibu mh Abdallah Bulembo amesikika akijiapiza kuwa lazima atakung'oa jimboni kwako kigoma.

Tunakuomba umjibu kama itakupendeza maana sisi wafuasi wako tumepatwa na wasi wasi.
Ni mambo gani serikali ijayo yakifanya utahisi na kuona kuwa tunajenga Tanzania ya ndoto yako? #TanzaniaYangu. KUTOA MAONI: BONYEZA HAPA.

Chama chetu cha ACT Wazalendo kimedhamiria kujenga serikali shirikishi, inayosikiliza na kuheshimu mawazo na maono ya watanzania, Ilani ya chama chetu, inapaswa kuakisi ushiriki wa watanzania. Shiriki katika kutoa maoni yako #TanzaniaYangu. KUTOA MAONI: BONYEZA HAPA.

Just click the link - usijali lugha gani inakuja kwa link. Tunaomba maoni yenu
 
Wewe wacha usukununu wako wa kuiogopa cdm na kuinanga kila kukicha.
Nani kakwambia kuwa cdm haipendi Act isipate wabunge?
Malizeni kwanza tofauti zenu braza Zitto.
Upinzani gani utamuondoa Magufuli ikiwa CHADEMA inajiona chama malaika na hakiko tayari kamwe kuona unaongeza mbunge act.

Na ni chama ambacho kinaamini chenyewe ndio upinzani ninyi ni mashushu wa ccm na kimejitahidi kuwaaminisha watu.

Wewe mwenywe haupo tayari kutoongeza ruzuku miaka ijayo katika chama chako.

Kiukweli unatambua wewe binasi na mbowe binafsi kamwe hamuwezi kumuondoa MH. JPM

JAMAA yako Mbatia nadhani ushajua muelekeo wake.

Sasa kama ni kweli mnahitaji mabadiliko tuleteeni ILANI YA CHAMA MUUNGANIKO WA KIPINZANI.

Vinginevyo itakuwa tunashauliana ni jinsi gani CHADEMA WAPUNGUZWE WABUNGE NA JINSI GANI ACT waongezwe WABUNGE.
 
Ni mambo gani serikali ijayo yakifanya utahisi na kuona kuwa tunajenga Tanzania ya ndoto yako? #TanzaniaYangu. KUTOA MAONI: BONYEZA HAPA.

Chama chetu cha ACT Wazalendo kimedhamiria kujenga serikali shirikishi, inayosikiliza na kuheshimu mawazo na maono ya watanzania, Ilani ya chama chetu, inapaswa kuakisi ushiriki wa watanzania. Shiriki katika kutoa maoni yako #TanzaniaYangu. KUTOA MAONI: BONYEZA HAPA.

Just click the link - usijali lugha gani inakuja kwa link. Tunaomba maoni yenu
Asante tutachangia maoni. Mjiandae kumkaribisha yule jamaa yetu. Kwa maoni yangu you are the one and only...
P
 
Kupunguza Kodi..
Corporate tax iwe 20 percent
PAYE asilimia 5..

Kuweka.malengo na.mbinu za kuvutia watalii wasio pungua million 5..kila mwaka.
Kumiliki gesi yetu na kuitumia kama nishatoka Kwa asilimia 100
 
Maoni yetu ni "SIMPLE" tunataka Zitto ugombee urais, utuongoze njia salama.


CCM kwa miaka yote tokea uhuru nchi hii kazi yao ni kupiga kelele "NCHI IMEJAA MAFISADI, MABEBERU WANAPEWA MIKATABA YA KUTUNYONYA" ila wanasahau wao ndio wenye wabunge wengine wanaopitisha hio mikataba huko bungeni.

#Tumechoka tokea #Uhuru
 
Ushauri wa bure, sisi wananchi wa Tanzania, tulifahamu Magufuli ni "dikteta", tukamchagua sababu tulimuhitaji, tumekaa nae miaka yote hii tunafahamu ni "dikteta",tunampenda, tunamuhitaji na tutamchagua. Tunafahamu na tulikuwa na imani sana na utendaji wako, tulitegemea usome alama za nyakati na umpe sapoti Rais mtupeleke sehemu, umebadilika, badala ya kumsaidia Rais na serikali yake kwa maslahi mapana ya Taifa, umeamua kutumikia agents of neocolonialism kumkwamisha Rais.

Tubu, wakati bado upo, hakuna tusi jipya utamtukana Magufuli litalofanya wananchi wasimuunge mkono sababu TUNAMFAHAMU na tunampenda hivyohivyo alivyo ISIPOKUWA nakuhakikishia siku akikanyaga jimboni kwako na kuwaambia wananchi kwamba hakuhitaji, hesabu huo ndo utakuwa mwisho wako kisiasa maana wananchi tunamuunga mkono na tunamsikiliza Rais wetu JPM.
 
Back
Top Bottom