Ni mambo gani serikali ijayo yakifanya utahisi na kuona kuwa tunajenga Tanzania ya ndoto yako? #TanzaniaYangu. KUTOA MAONI: BONYEZA HAPA.
Chama chetu cha ACT Wazalendo kimedhamiria kujenga serikali shirikishi, inayosikiliza na kuheshimu mawazo na maono ya watanzania, Ilani ya chama chetu, inapaswa kuakisi ushiriki wa watanzania. Shiriki katika kutoa maoni yako #TanzaniaYangu. KUTOA MAONI: BONYEZA HAPA.
Just click the link - usijali lugha gani inakuja kwa link. Tunaomba maoni yenu
Malizeni kwanza tofauti zenu braza Zitto.
Upinzani gani utamuondoa Magufuli ikiwa CHADEMA inajiona chama malaika na hakiko tayari kamwe kuona unaongeza mbunge act.
Na ni chama ambacho kinaamini chenyewe ndio upinzani ninyi ni mashushu wa ccm na kimejitahidi kuwaaminisha watu.
Wewe mwenywe haupo tayari kutoongeza ruzuku miaka ijayo katika chama chako.
Kiukweli unatambua wewe binasi na mbowe binafsi kamwe hamuwezi kumuondoa MH. JPM
JAMAA yako Mbatia nadhani ushajua muelekeo wake.
Sasa kama ni kweli mnahitaji mabadiliko tuleteeni ILANI YA CHAMA MUUNGANIKO WA KIPINZANI.
Vinginevyo itakuwa tunashauliana ni jinsi gani CHADEMA WAPUNGUZWE WABUNGE NA JINSI GANI ACT waongezwe WABUNGE.
Hongereni ACT WAZALENDO kwa kuwa wasikivu .Chadema Zingatieni ushauri wangu oneni wenzenu wamezingatia ,Ushauri niliwapa CHADEMA jana huo
Elections 2020 - CHADEMA inaingia kwenye uchaguzi bila kuwa na ilani ya CHADEMA YA uchaguzi ya 2020-2025 Chadema hakiko serious
Asante tutachangia maoni. Mjiandae kumkaribisha yule jamaa yetu. Kwa maoni yangu you are the one and only...Ni mambo gani serikali ijayo yakifanya utahisi na kuona kuwa tunajenga Tanzania ya ndoto yako? #TanzaniaYangu. KUTOA MAONI: BONYEZA HAPA.