ACT Wazalendo: Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela

Kifo cha Hayat Rais John Pombe Magufuli ndio kipewe kipaumbele. Kwani kuna utata na sintofahamu.

Hawa wanaharakati nao wachunguzwe. Yale aliyoyasema Mh. Dk Slaa kuhusu Red Brigade, nayo yafanyiwe uchunguzi wa kina.

Tanganyika ni yetu sote.
 
Kwa sasa nitabaki mchangiaji kwenye threads za sports na kula kimasiara.
Huku tukisubiri tar 20 tuwakere watu na uzi wa "Kwanini Mshahara wa January umechelewa?"
 
Reactions: K11
Ukweli utafutwe na uwekwe wazi
 
Hakuna mtu anaunga mkono huo ujinga wa Kimagufuli
 
Nimeona pdf ya polisi kumuwekea ulinzi mhanga wa tukio
Kuna Clip moja Mr Bean alimpiga jambazi risasi ya kifua jamaa likazimia na kuwahishwa hospital kwa ajili ya upasuaji wa kutoa risasi,

Wakati madaktari wamemzunguka mgonjwa theater kwa ajili ya operation mara jambazi anazinduka na kupata fahamu Ile kuangaza huku na huku kwenye jopo la madaktar waliomzunguka anamuona Mr Bean naye ni miongoni mwa madaktari watakaomfanyia operation mara jamaa akazimia na kupoteza fahamu kwa mara nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ