ACT Wazalendo waibwaga CCM Konde, Mohamed Said Issa ashindi kiti cha Ubunge

Mshindi amepata kura elfu mbili na kitu, na CCM kapata kura mia saba na kitu, hilo jimbo au mtaa?

Ukiangalia idadi ya wapiga kura unabakia hoi kabisa na kujiuliza hivi akili za Watanganyika zikoje?
 
Hii ni CUF iliyochangamka 🤣🤣..........

Tuseme asante Demo-kratos........
 
Nilishasema mara nyingi uko nyuma kwamba uhamuzi wa Chadema kususia uchaguzi mpaka pawe na tume huru. Utakuwa na impact kama vyama vyote vya upinzani vitakubali kususiha.

Nikawatahadhari, kuna vyama vitaendelea kushiriki chaguzi na vita shinda. Hii itadhoofisha madai ya kususia uchaguzi mpaka kuwe na tume huru!!
Tunasema yetu macho!!
 
Hivyo vyama hata vikishiriki uchafuzi Chadema haita shiriki msitulazimishe Ujinga wenu. Huo ulikuwa mpango mahsusi ulipangwa kuibaka demokrasia. Toka lini mbunge wa cccm akajiuzuru kijinga jinga tuu bila sababu? Hao ACT ni ccm B na hakuna Cha maana mtafanikiwa kuwapumbaza wenye Akili.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
wanafiki hao
 
Wanahisi sisi ni wajinga😅😅
 
Ilikuwa mipango kuwa ajihizuru ili uchaguzi irudiwe na ACT watangazwe washindi,ili kudanganywa jumuia ya madola kuwa Tanzania Kuna Semokrasia.
Chadema mnalialia tu kila siku

USSR
 
Gharama za hili zoezi na lile lililoishia na mteule kujiuzulu zingeleta nafuu ngapi Kwa wananchi wa hili jimbo?
 
Mkuu,
Liangalie ili la kususia uchaguzi kwa upana zaidi.
Kama vyama vingine vya upinzani vitaendelea kushiriki uchaguzi na kishinda. Zaidi ya kudhoofisha madai ya Chadema ya kutaka tume huru kabla ya uchaguzi, unajua kitakachofuatia?

Kukusaidi, wagombea wa Chadema watakimbilia kwenye vyama vingine kama ACT, watapewa nafasi ya kugombea na watashinda!! The rest is history!
 
Tozo za parking zimeanza kuonesha makali yake,
Wenye magari wanajuta kuwa na magari daslam,
Lisaa limoja 500 ukichelewa kulipa faini 30,000
Kudadek hii ipo tz pekee
#sinunuigari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…