ACT Wazalendo waibwaga CCM Konde, Mohamed Said Issa ashindi kiti cha Ubunge

ACT Wazalendo waibwaga CCM Konde, Mohamed Said Issa ashindi kiti cha Ubunge

Sasa mnadai nini Tena wakati hiyo time ambayo hamuitaki ndiyo inawapa ubunge au chagadema mpaka washinde wao ndiyo ionekane uvhaguzi ulikuwa huru?
Kwa hiyo huo ushindi unaondoa umuhimu wa dai la Tume Huru, kwa mtazamo wako?

Hivyo vyama hata vikishiriki uchafuzi Chadema haita shiriki msitulazimishe Ujinga wenu. Huo ulikuwa mpango mahsusi ulipangwa kuibaka demokrasia. Toka lini mbunge wa cccm akajiuzuru kijinga jinga tuu bila sababu? Hao ACT ni ccm B na hakuna Cha maana mtafanikiwa kuwapumbaza wenye Akili.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Na nyie endeleeni kusikikiza akili matope za mbowe kususia wenzenu wanapeta chagadema siasa imewashinda
 
Sasa mnadai nini Tena wakati hiyo time ambayo hamuitaki ndiyo inawapa ubunge au chagadema mpaka washinde wao ndiyo ionekane uvhaguzi ulikuwa huru?



Na nyie endeleeni kusikikiza akili matope za mbowe kususia wenzenu wanapeta chagadema siasa imewashinda
Dai la TUME HURU linabaki pale pale acha Porojo!
 
Wacheni kutumiwa na kucheza ngoma ya CCM.
ACT wanapambana na madhila kama walivyo CHADEMA, wanatofautiana strategy na so lazima wafanane.

Kurudiwa kwa uchaguzi was konde ni kutokana na sindikizo LA ACT kupitia SUK. CCM walifanya uhuni ule ule was 2020 kwa kupora ule uchaguzi was mwanzo was marudio was yule mwana ccm aliyejiuzulu.
Sindikizo lilihatarisha SUK na makandokando ya hadaa za kukubalika JMT na Rais Mwinyi kwenye siasa za dunia.
Kamwe CCM hawana nia njema na ACT seuze CHADEMA.
Wakati ndio ulioamua.
Mazingira ya Zanzibar yana strategy zake hilo mlikubali.

Wanamageuzi msicheze ngoma msioijua.

Hongereni ACT, hongereni wapinzani.

Pambaneni na msitolewe nje ya reli kwa visababu vya mpito. Madai ya tume huru yako pale pale.
 
Ukiangakia idadi ya wapiga kura unabakia hoi kabisa na kujiuliza hivi akili za Watanganyika zikoje?
Siyo akili za Watanganyika,bali ni akili za viongozi wa kutoka Tanganyika.
Nina jamaa zangu wa karibu 4 ambao ni viongozi wakubwa ndani ya GoT na CCM, lakini mioyoni mwao hawautaki huu Muungano, ila midomoni sasa,yaani wanausifia na kuupigia chapuo kupindukia.
Tanganyika tuna bahati ya kutopata viongozi.
 
CCM is finally sent where it belongs!!

CCM wajanja sana watatumia uchaguzi huu kama kigezo Tume ipo huru.

Zitto anatumika kama daraja la kuhalalisha dhulma siku za usoni.
 
Kwa great thinker yeyote anajua kabisa keamba hili lilitegemewa liwe hivi. Baada ya yule mshindi wa CCM kutolewa kafara kufuatia mkwara wa ACT,CCM walishaona kuwa ni bora hilo jimbo wawape as a means of appeasing them. Bado hakuna tume huru sema mtoto katulizwa tu ili mambo yaende.
 
CCM wajanja sana aisee,yaani mpaka uwagundue hesabu zao inahitaji hekima ya mfalme Suleiman
 
Hivyo vyama hata vikishiriki uchafuzi Chadema haita shiriki msitulazimishe Ujinga wenu. Huo ulikuwa mpango mahsusi ulipangwa kuibaka demokrasia. Toka lini mbunge wa cccm akajiuzuru kijinga jinga tuu bila sababu? Hao ACT ni ccm B na hakuna Cha maana mtafanikiwa kuwapumbaza wenye Akili.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Msiposhiriki mnapata faida gani ? CHADEMA inabidi msome upepo sio kushikiria msimamo usio na faida.
Ni lazima kutazama mbele mkiona wenzenu wa upinzani wanaweka wagombea..wekeni pamoja ili mkikosa mlie wote hapo sauti yenu itakuwa na mashiko.
Fikiria..mnaacha kuweka mgombea then mpinzani mwenzenu anashida,hoja ya kuwa tume kukosa uhuru itapata mashiko gani ?
Kinachowafanya kuwa chama kikuu cha upinzani ni idadi ya wawakilishi mliokuwa nao Bunge lililopita,leo hii wapinzani wenzenu wakipata wawakilishi wengi jua kuwa hata kambi rasmi ya upinzani wataichukua wao.then ninyi mtabaki kama CUF tu. Kwenye mapambano ni muhimu sana kuwa na mbinu zinazobadilika badilika.
 
Mohamed Said Issa (ACT Wazalendo), ametangazwa mshindi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo Konde kwa kupata kura 3408.

Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo Abdallah Said Ahmed amemtangaza leo Jumamosi Oktoba 9, 2021 katika kituo cha majumuisho cha Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Katika matokeo hayo, Issa amefuatiwa na mgombea wa CCM, Mbarouk Amour Habib aliyepata kura 794 kati ya kura 3,338 zilizopigwa.

Mgombea mwingine katika uchaguzi huo Salama Khamis Omar wa CUF alipata kura 98 na Hamad Khamis Mbarouk (AAFP) akipata kura 55.
mwandishi unafeli wapi!?!!!!???, angalia tarakimu ulizotuletea!!!
 
Uchaguzi mdogo uliofanyika leoView attachment 1969732
Acha ujinga na uzwazwa, upumbavu (Siyo wewe mleta habari, nasema ACT). There is nothing to celebrate at all! This was done deliberately to "incorporate" ACT in serikali ya umoja wa kitaifa! to deceive the world that there is election democracy! Shit! acha ujinga uliopitiliz...... Bujibuji ACT tawi la CCM
 
Back
Top Bottom