ACT Wazalendo waibwaga CCM Konde, Mohamed Said Issa ashindi kiti cha Ubunge

Tozo za parking zimeanza kuonesha makali yake,
Wenye magari wanajuta kuwa na magari daslam,
Lisaa limoja 500 ukichelewa kulipa faini 30,000
Kudadek hii ipo tz pekee
#sinunuigari
Utatemebea kwa miguu. Utakula winga mpaka ukome. Zanzibar 1 hour wanalipa 1000 na wala hawalalamiki.

Tujitolee kuijenga nchi yetu
 
Dai la TUME HURU linabaki pale pale acha Porojo!
Sasa hapo mnataka nini Tena hamna Imani na tume the nayotoa ushindi kwa chama chochote? Tatizo mnataka mpaka ashinde chagadema ndiyo muone uhuru wa tume wakati wagombea wenu hawana ushawishi kwa watu
 
T
Tatizo la chagadema wao ndiyo wanjifanya ndiyo wapinzani pekeyao wenzao wanawazarau wataishia kulalamika Kila siku
 
Sasa hapo mnataka nini Tena hamna Imani na tume the nayotoa ushindi kwa chama chochote? Tatizo mnataka mpaka ashinde chagadema ndiyo muone uhuru wa tume wakati wagombea wenu hawana ushawishi kwa watu

Unachosema .Ni sawa na MECHI ya Simba na Yanga, kwa kuwa SIMBA ameshinda basii Refa akiwa Manara Ni sawa Sanaa tu.
Haiko Hivyo.
 
Ilikuwaje juzi kati CCM ilikuwa imepata ushindi wa tsunami na sasa inashindwa kwa kishindo! Au safari hii hawakumpata mgombea anayekubalika? Au hata hizo kura mia saba zimeongezwa ongezwa kidogo ili zisiwe chache sana? Huu naona kama ni mwujiza wa kisiasa!
 
Bila wizi wa kura na msaada wa Police na Tume ya uchaguzi CCM ni wepesi kama uzi wa Sufi
Msiwe wajinga nyiny ilo jimbo wameachia ili kupunguza lile sekeaeke la katiba mpya ili tume pia ionekane ipo huru

Kesho itasikia km tume isingekuwa huru fulan asingekuwa mbunge wameshawaleteq propaganda basi mnatulia na wangetaka hilo jimbo wanhelichukua fasta tu
 
Ilikuwa mipango kuwa ajihizuru ili uchaguzi irudiwe na ACT watangazwe washindi,ili kudanganywa jumuia ya madola kuwa Tanzania Kuna Semokrasia.
Sio ivo CCM zanzibar walibanwa pabaya sana Makamo wa kwanza alitaka kujiuzulu na ule unaotiwa Umoja wa Kitaifa uwe ndio Kwishnehi na mtoto wa Mkuranga bado analiogopa hilo kwenye kuongoza serikali ya Zanzibar
 
Chadema ni branchi ya nani? Kule Zanzibar viongozi wenu wa chadema uchaguzi uliopita walipigia kampeni wagombewa wa CCM mchana kweupee
Mshindi amepata kura elfu mbili na kitu, na CCM kapata kura mia saba na kitu, hilo jimbo au mtaa?
Wingi wa watu is nothing as long as Zanzibar tuna idadi ndogo ya population naturally., ndio maumbile ya baadhi ya nchi nyingi duniani, tembea upate kufungua macho
 
K
Kwani wakijitoa suk Kuna hasara Gani warnde huko nchi inawenyewe hii na wenyewe ni ccm tu
 
Leta facts
 
Leta facts
Mratibu mkuu wa Chadema Zanzibar juzi ameteuliwa na mwinyi kuwa Afisa Mdhamini ofisi ya rais na bado anavaa nguo za chadema na kuna wakati analazimika kuvaa za kijani.,

Wakati wa Kampeni mpaka makamo wenu kule Zanzibar alishiriki kwenye dua ya kumuombea Mwinyi ashinde urais Zanzibar na sasa ndio wanalipwa fadhilia.,

Ukija hapa na kusema ACT ni tawi la CCM lazima utuambie na Chadema ni tawi la nani
 
Lengo ni kuhadaa dunia kuwa nchi hii kuna uchaguzi huru na wa haki na ndio maana hawajapora ushindi wa ACT.

ACT hili wanalijua na wanatumika.
 
Sukuma land, total army. Proudly sukuma
Poleni sana kwa kufiwa na Mungu wenu. Maulana akijalia mtampata mungu mwingine.... ila kwa sasa tuachieni Tanzania yetu iendelee kwa amani
 
Hii inaonyesha jinsi Tanzania ilivyokomaa kwenye demokrasia mpaka upinzani unaigaragaza CCM.
 
Weka video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…