ACT - Wazalendo: Wakati wa kuungana dhidi ya ukandamizaji ni sasa

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Mkwamo wa Kisiasa Nchini

Wakati wa Kujenga Muungano wa Kitaifa Dhidi ya Ukandamizaji ni Sasa.

Historia inaonesha kwamba hakuna mfumo kandamizi unaoanguka kwa sababu ya malalamiko yaliyotawanyika ya wale wanaokandamizwa.

My Take.

Nawakumbusha ACT, kulikuwa na UDETA na UKAWA wakasaliti, NO Reforms, No Election, wakasaliti wakaungana na hao wakandamizaji kwenye uchaguzi, leo wamekumbuka nini.

Juzi Lema kamwambia live Zitto anachofanya sasa yeye na chama chake ni sawa na BUSU LA YUDA.
 
ACT Wazalendo, nyinyi ni snitch! Mara zote nyakati za uchaguzi huwa mnafungamana na seara za chama tawala ccm, zikiwemo zile za kuendesha uchaguzi usio huru na wa haki! Halafu uchaguzi ukipita ndiyo mnajifanya mnafungamana na wananchi wapenda mabadiliko.
 
Na hii siyo mara ya kwanza wao kujifanya wapo na wananchi baada ya uchaguzi.

Vyama vya hivi ni kuviepuka.
 
Mkwamo wa Kisiasa Nchini

Wakati wa Kujenga Muungano wa Kitaifa Dhidi ya Ukandamizaji ni Sasa.

Historia inaonesha kwamba hakuna mfumo kandamizi unaoanguka kwa sababu ya malalamiko yaliyotawanyika ya wale wanaokandamizwa.

My Take.

Nawakumbusha ACT, kulikuwa na UDETA na UKAWA wakasaliti, NO Reforms, No Election, wakasaliti wakaungana na hao wakandamizaji kwenye uchaguzi, leo wamekumbuka nini.

Juzi Lema kamwambia live Zitto anachofanya sasa yeye na chama chake ni sawa na BUSU LA YUDA.
Kwenye hizi harakati za kuikomboa Tanganyika sina imani na ACT kabisa..
 
Mkwamo wa Kisiasa Nchini

Wakati wa Kujenga Muungano wa Kitaifa Dhidi ya Ukandamizaji ni Sasa.

Historia inaonesha kwamba hakuna mfumo kandamizi unaoanguka kwa sababu ya malalamiko yaliyotawanyika ya wale wanaokandamizwa.

My Take.

Nawakumbusha ACT, kulikuwa na UDETA na UKAWA wakasaliti, NO Reforms, No Election, wakasaliti wakaungana na hao wakandamizaji kwenye uchaguzi, leo wamekumbuka nini.

Juzi Lema kamwambia live Zitto anachofanya sasa yeye na chama chake ni sawa na BUSU LA YUDA.
pwagu na pwaguzi katika moja na mbili kisiasa 🤣
 
Siasa ni mchezo wa fursa, na siasa haina maadui wa kudumu wala marafiki wa kudumu, bali ina maslahi ya kudumu.
 
Mkwamo wa Kisiasa Nchini

Wakati wa Kujenga Muungano wa Kitaifa Dhidi ya Ukandamizaji ni Sasa.

Historia inaonesha kwamba hakuna mfumo kandamizi unaoanguka kwa sababu ya malalamiko yaliyotawanyika ya wale wanaokandamizwa.

My Take.

Nawakumbusha ACT, kulikuwa na UDETA na UKAWA wakasaliti, NO Reforms, No Election, wakasaliti wakaungana na hao wakandamizaji kwenye uchaguzi, leo wamekumbuka nini.

Juzi Lema kamwambia live Zitto anachofanya sasa yeye na chama chake ni sawa na BUSU LA YUDA.
Ingependeza kama wangeshawishi ule mjadala wai wa juzi ukawa wa kitaifa na jumuishi!
 
ACT na CHAUMMA, hivyo ni vyama ambavyo lengo lao kubwa ni kupata pesa, bila ya kujali kama hela inatoka kwa shetani au malaika.

Uzuri ni kwamba wananchi walikwishavitambua hivyo vyama vya siasa fake, na yale magenge 13, vyoo vya CCM.
 
Back
Top Bottom