Na hii siyo mara ya kwanza wao kujifanya wapo na wananchi baada ya uchaguzi.ACT Wazalendo, nyinyi ni snitch! Mara zote nyakati za uchaguzi huwa mnafungamana na seara za chama tawala ccm, zikiwemo zile za kuendesha uchaguzi usio huru na wa haki! Halafu uchaguzi ukipita ndiyo mnajifanya mnafungamana na wananchi wapenda mabadiliko.
Kwenye hizi harakati za kuikomboa Tanganyika sina imani na ACT kabisa..Mkwamo wa Kisiasa Nchini
Wakati wa Kujenga Muungano wa Kitaifa Dhidi ya Ukandamizaji ni Sasa.
Historia inaonesha kwamba hakuna mfumo kandamizi unaoanguka kwa sababu ya malalamiko yaliyotawanyika ya wale wanaokandamizwa.
My Take.
Nawakumbusha ACT, kulikuwa na UDETA na UKAWA wakasaliti, NO Reforms, No Election, wakasaliti wakaungana na hao wakandamizaji kwenye uchaguzi, leo wamekumbuka nini.
Juzi Lema kamwambia live Zitto anachofanya sasa yeye na chama chake ni sawa na BUSU LA YUDA.
Who is Jay Kay Em!ZZK ni sawa na JKM wanashabihiana kwenye vingi mno
Unaikomboa Tanganyika kutoka wapi?Kwenye hizi harakati za kuikomboa Tanganyika sina imani na ACT kabisa..
pwagu na pwaguzi katika moja na mbili kisiasa 🤣Mkwamo wa Kisiasa Nchini
Wakati wa Kujenga Muungano wa Kitaifa Dhidi ya Ukandamizaji ni Sasa.
Historia inaonesha kwamba hakuna mfumo kandamizi unaoanguka kwa sababu ya malalamiko yaliyotawanyika ya wale wanaokandamizwa.
My Take.
Nawakumbusha ACT, kulikuwa na UDETA na UKAWA wakasaliti, NO Reforms, No Election, wakasaliti wakaungana na hao wakandamizaji kwenye uchaguzi, leo wamekumbuka nini.
Juzi Lema kamwambia live Zitto anachofanya sasa yeye na chama chake ni sawa na BUSU LA YUDA.
Jakaya Kikwete Mrisho.Who is Jay Kay Em!
Zilongwa mbali zitendwa mbali 😳 !ZZK ni sawa na JKM wanashabihiana kwenye vingi mno
JKWho is Jay Kay Em!
Moja ni udini?ZZK ni sawa na JKM wanashabihiana kwenye vingi mno
TanganyikaUnaikomboa Tanganyika kutoka wapi?
Kizimkazi and Wahuni EmpireUnaikomboa Tanganyika kutoka wapi?
Ingependeza kama wangeshawishi ule mjadala wai wa juzi ukawa wa kitaifa na jumuishi!Mkwamo wa Kisiasa Nchini