Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Hawawezi kuthubutu kuja tanzania,
Hapa kuna maslahi ya China Na Urusi,marekani hawezi kuleta fyoko fyoko
China hawahawa mliowanyima kujenga SGR na kuwaletea figisu mradi wa bandari ya bagamoyo??? Au wengine???
China ukiingilia maslahi yake anakutema tu, Uliza kwa nini Emerson Mnagangwa alifanikiwa kumpindua Mugabe??? Mugabe alianza kuwaletea figisu China, China wakamnawa!!😂😂😂😂

Eti Urusi ana maslahi Tanzania??? Urusi ambaye kiuchumi ni kama amekufa tu anategemea silaha???😂😂😂😂

Huijui dunia wewe!
 
💥👊🏼💃🏻
Na ubaya zaidi walichofeli vyama vya upinzani, ni ku copy, edit &paste Ilani ya CCM, kwa maana nimebahatika kusoma ilani zote hizo na nimegundua hilo, upinzani bado hawana uwezo wa kuiongoza nchi hii ya Tanzania.
 
#KAZI_NA_BATA_+_NI_YEYE MWAKA WETU HUU LAZIMA CHAMA CHAKAVU WACHAMBIE KISU🤣🤣🤣
 
Hongera membe kwa uamuzi huu lakini usije kuwa kama Dr slaa au Pro limumba kesho tukakukuta tbc na polepole mkimnanga lissu
 
Baraza la mawaziri la serikali ya chadema na Act wazalendo litakuwa Kama ifuatavyo
Benard Membe = Mambo ya nje
Godbless Lema =Mambo ya ndani
John Heche = Ulinzi na Jkt
Suzane Lyimo= Elimu
Zitto Kabwe = Fedha na mipango
Jussa Jussa= katiba na sheria
Ester Bulaya = Habar Maelezo
Halima Mdee=Nishati , Madini
Ado Shaibu = Miundo mbinu
Peter Msigwa= Utalii
Ester Matiko = Afya
Joseph Haule =Ajira na vijana
Joseph Mbilinyi = Tamisemi
Freeman Mbowe= Waziri Mkuu
Nitajie manaibu mawaziri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu naona safari hii umekuwa mpole kumtetea na kumpigania Jiwe,nini tatizo?

My early prediction, nilijua uchaguzi huu utakuwa mwepesi kwetu, ila kiukweli, inahitaji extra push tushinde, kuna historia za ajabu duniani zishatokea, mtu kama Lissu usije mdharau kabisa katika huu uchaguzi, don't ever count him out.. Leo nimeona kumbe ACT wanam support secretly, mm kama CCM, we need extra IQ tushinde, huu uchaguzi bado una sintofahamu
 

Mtalia kilio cha mbwa siku hiyo. Hakuna kitu kama hicho. JPM Lazima ashinde.
 
Alichowafanya akina Nape, makamba, Kinana et al. Wako pale kulinda uhai tu lakini wanamchukia sana mshamba
 
Shkamoo maalim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…