Uchaguzi 2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Nchi itapendeza sana
 
Taifa linaangamiaje kwa mfano?
Magufuli fisadi kaiba matrilion ya pesa, kisha anakuja kuwatisha ma-CAG. Huyo Magufuli siyo mungamizaji wa taifa kwa ufisadi wake?
Magufuli fisadi mkunwa akishirikiana na wanaompa hope ya kuwepo pale
 
mwaka huu Maalim Seif na Tundu Lissu wamewakalia wakoloni weusi "pabaya". wamenukuliwa wakiitaja ICC mara kwa mara.

kwa kauli za hawa 2 inaonekana dhahiri wao ndiyo watakuwa mstari wa mbele kabisa endapo wataamua mass revolt ndiyo option. na inawezekana maana wote 2 hawana cha kupoteza zaidi ya yaliyowakuta huko nyuma!
 
Taifa linaangamiaje kwa mfano?
Magufuli fisadi kaiba matrilion ya pesa, kisha anakuja kuwatisha ma-CAG. Huyo Magufuli siyo muangamizaji wa taifa kwa ufisadi wake?

Bora ufisadi wa MAGUFULI kuliko ulofa wa LISSU wa kupanga njama za machafuko na wazungu. Sijui LISSU akili chafu ya namna hii anaitoa wapi.
 
Kama na Jay One na ww leo imekiri kuwa kazi si nyepesi basi sasa nimeanza kuamini ngoma kumbe ni nzito siyo ya kitoto.
 
Lakn mkumbuke kuwa kule kwenye tume ACT anatambuliwa ni membe, sasa siku ya uchaguzi watapiga kwenye picha ya nani?

Na tume ilishasema endapo chama vinataka kuungana viwasilishe hoja hyo kabl ya siku 90.

Halafu pia hayo ni maamuzi ya Maalim seif lakn si wanachama wa ACT.

Naona karata hizi zinaanza kujichanganya. Ngoja tusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…