Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Tumia akili zako zoteUsikurupuke..
Tofautisha uchawa na busara
Wewe UVCCM huna akili kabisa pimbi weweTumia akili zako zote
Hiki ni kitengo ndani ya CCM
WEWE nani? Acha kujitoa UFAHAMU UCHAWA una Madhara makubwa kuliko FAIDA
Kiukweli ACT uchawa umezidi hadi wanakeraKwani Mafuriko yalitokea lini?
Huyu jamaa ndio sababu Wabunge wa CCM walimkataa Bunge la Eala, ni mweupe sana!
ACT ya Zanzibar ndio wanajitambuaKiukweli ACT uchawa umezidi hadi wanakera
TULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
Hawa vijana wa UVCCM, sijui huwa wanapatikana kwa utaratibu gani. Maana kuwapata watu duni wa akili, uoeo na mbinu, kama huyu anayejiita Kamanda Asiyechoka, siyo jambo rahisi. Maana wanadamu wenye normal brain average ni wengi sana kuliko hawa wenye below average brain waliojazana CCM.Wewe UVCCM huna akili kabisa pimbi wewe
Uko sahihi. Akili kama hizi angekwenda kuaibisha Watanzania.Kwani Mafuriko yalitokea lini?
Huyu jamaa ndio sababu Wabunge wa CCM walimkataa Bunge la Eala, ni mweupe sana!
Wewe uko upande gani? Unajifanya chadema lkn unamshambulia Mbowe..Leo.mara act wazalendo. Huu unakuwa unafiki ktk uislam na unafiki mbaya sana na dhambi zake ni kubwa. Sijui ktk dini nyengine mnafiki anachukuliwa vipi. J2 njema. Au nakosea wadau kumfahamisha huyu kiumbe?Tumia akili zako zote
TULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
Walimpisha mwenyekiti wao wa chama act ni tawi la ccmTULIMPISHA RAIS SAMIA.