ACT Wazalendo wana busara kuliko CHADEMA. Walimpisha Rais mafuriko ya Hanang

TULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
Mwingine ni unaa na uchawa,kwa maslahi yanayofahamika,hata habari yaweza kuwa shinikizo la uchawa.
 
Katika kitu ACT wanasikia Raha ni kusifiwa na ccm kuwa wana siasa za kistaarabu. Hicho chama cha ACT ni project ya ccm, ila Magufuli ni kama alipuuza mipango iliyokuwepo kipindi Cha JK maana alikuwa hampendi Zito Kabwe.

ACT wameahidiwa viti kadhaa ya ubunge na ccm, kwani wameshajua uchaguzi ni Zoezi la kisanii, ila ccm ndio wanaamua nani atagazwe mshindi. Hivyo ACT watatumika kama backup ya ccm katika mapambano na cdm. Ndio maana utaona ACT kwenye siasa zao wanahakikisha wanafanya katika hali ya kuwaridhisha ccm.
 
Rais sio Mungu, au alijimilikisha huo msiba?
Na nyie kwann uende siku ambayo rais atakuwepo, hamkuona siku nyngn au kwa heshima ya rais kwann hamkuahirisha kama wngnu ACT
 
Narudia tena, rais sio Mungu, tena hawa Marais wanaoingia madarakani kwa chaguzi za kihayawani unaanzaje kuacha kwenda kutoa pole kisa yupo huko? ACT wao ni project ya ccm hivyo lazima wafanye mambo Yao kwa kumridhisha mwenyekiti wa ccm.
 
TULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
Walimpisha Rais Hanang?? Kwenye maafa au msiba kuna kupishana tena, au kuwa pamoja kuonyesha mshikamano? Kuwa vyama tofauti vya siasa ni uadui? Angalia pengine wewe ndiye tofautishi kati ya busara na ujinga. Uchawa mara zote umfanya mtu kutoa maoni kwa kujipendekeza akidhani anamfurahisha boss.
 
Narudia tena, rais sio Mungu, tena hawa Marais wanaoingia madarakani kwa chaguzi za kihayawani unaanzaje kuacha kwenda kutoa pole kisa yupo huko? ACT wao ni project ya ccm hivyo lazima wafanye mambo Yao kwa kumridhisha mwenyekiti wa ccm.
Andamana
 
TULIMPISHA RAIS SAMIA.

"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
Kwani hiyo CHADEMA na ACT ni physical objects zinazobana njia ya kupita mtu?
 
TULIMPISHA RAIS SAMIA.

"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
Hivi leo hii kuna mtanzania mwenye matope kichwani bado anachukulia misiba kuwa jambo la vyama? Basi hata kwenye misiba ya watu maarufu rais awe anapishwa akalie peke yake
 
Kwa akili ya kawaida tu Rais akisimama na nani habari itakuwa huyo nani halafu Rais asiandikwe?
Si mnaona mpaka tunajadili teyari ACT inatuingia vichwani mwetu.
 
Katika kitu ACT wanasikia Raha ni kusifiwa na ccm kuwa wana siasa za kistaarabu. Hicho chama cha ACT ni project ya ccm, ila Magufuli ni kama alipuuza mipango iliyokuwepo kipindi Cha JK maana alikuwa hampendi Zito Kabwe.

ACT wameahidiwa viti kadhaa ya ubunge na ccm, kwani wameshajua uchaguzi ni Zoezi la kisanii, ila ccm ndio wanaamua nani atagazwe mshindi. Hivyo ACT watatumika kama backup ya ccm katika mapambano na cdm. Ndio maana utaona ACT kwenye siasa zao wanahakikisha wanafanya katika hali ya kuwaridhisha ccm.
Tukasikia Kessy hajashinda ubunge ubunge ukaenda kwa CDM.ni kweli CCM wanampa wampendae ubunge.CDM wanajua hili la Nkasi.
 
Kero ni wenye akili kuuona kabisa usanii wa ACT ukihalalishwa huku jamii ya machawa ikikumbatia huo usanii.Unafiki ni zaidi ya uchawi maana upo na unathibitishwa kwa kuuona na kuusikia.
 
TULIMPISHA RAIS SAMIA.

"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
Wewe kenge tulisha kufukuza kutoka cdm kwa tabia zako za udokozi wa mali
 
Hao wanafiki tu na walamba asali kiongozi wao si ndo alitukana kwamba tunao mpenda JPM tukazikwe nae chato sasa hiyo heshima wameitoa wapi .Sema wanafiki act wapeleka unafiki wao manyara.
Naona upo kazini hapo lumumba.
1755734996.jpg
 
Hivi kumbe kumfariji binadamu mwenzio kunategemea wakati na cheo cha mtu [emoji15][emoji15][emoji15]!!!

CCM mlipofikia hata shetani anawashangaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom