ACT Wazalendo wana busara kuliko CHADEMA. Walimpisha Rais mafuriko ya Hanang

mjinga tu wewe.
chadema ni taasisi kubwa.
 

Huyo jamaa wakuitwa Ado, alijikomba kwa CCM wakati wa uchaguzi wa EALA alidhani watampa kura , baada ya kuwasifu CCM kwenye kuomba kura , wakampiga Chini. Hivyo huo ni chawa msaka vyeo
 
ACT ni tawi la CCM , ndio maana huyo mjinga akampisha mwenyekiti wake kwanza. Very stupid.
 
Wewe Kamanda mshauri mwenyekiti wako Mbowe wakati mwingine atumie busara. CHADEMA mnakuwa kama watoto wakati mwingine
 
Huyo ni CHADEMA ila kakataa kuwa mnafiki
 
Hiki ndio chama chenye watu wenye akili. CHADOMO ni chama cha wahuni wavuta bangi
 

Sisi ccm tutawapa Hawa watoto wetu majimbo 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…