Mwingine ni unaa na uchawa,kwa maslahi yanayofahamika,hata habari yaweza kuwa shinikizo la uchawa.TULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
Ni kweli, maana hawana muda wa kuheshimu majizi ya kura.Chadema ni genge la wahuni
Rais sio Mungu, au alijimilikisha huo msiba?Unafiki kwa wananchi Kwenda Manyara na kufanya mizunguko yao huku wakijua rais ana ratiba siku hiyo
Na nyie kwann uende siku ambayo rais atakuwepo, hamkuona siku nyngn au kwa heshima ya rais kwann hamkuahirisha kama wngnu ACTRais sio Mungu, au alijimilikisha huo msiba?
Narudia tena, rais sio Mungu, tena hawa Marais wanaoingia madarakani kwa chaguzi za kihayawani unaanzaje kuacha kwenda kutoa pole kisa yupo huko? ACT wao ni project ya ccm hivyo lazima wafanye mambo Yao kwa kumridhisha mwenyekiti wa ccm.Na nyie kwann uende siku ambayo rais atakuwepo, hamkuona siku nyngn au kwa heshima ya rais kwann hamkuahirisha kama wngnu ACT
Walimpisha Rais Hanang?? Kwenye maafa au msiba kuna kupishana tena, au kuwa pamoja kuonyesha mshikamano? Kuwa vyama tofauti vya siasa ni uadui? Angalia pengine wewe ndiye tofautishi kati ya busara na ujinga. Uchawa mara zote umfanya mtu kutoa maoni kwa kujipendekeza akidhani anamfurahisha boss.TULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
AndamanaNarudia tena, rais sio Mungu, tena hawa Marais wanaoingia madarakani kwa chaguzi za kihayawani unaanzaje kuacha kwenda kutoa pole kisa yupo huko? ACT wao ni project ya ccm hivyo lazima wafanye mambo Yao kwa kumridhisha mwenyekiti wa ccm.
CCM ni genge la majuhaChadema ni genge la wahuni
Kwani hiyo CHADEMA na ACT ni physical objects zinazobana njia ya kupita mtu?TULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
Hivi leo hii kuna mtanzania mwenye matope kichwani bado anachukulia misiba kuwa jambo la vyama? Basi hata kwenye misiba ya watu maarufu rais awe anapishwa akalie peke yakeTULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
Tukasikia Kessy hajashinda ubunge ubunge ukaenda kwa CDM.ni kweli CCM wanampa wampendae ubunge.CDM wanajua hili la Nkasi.Katika kitu ACT wanasikia Raha ni kusifiwa na ccm kuwa wana siasa za kistaarabu. Hicho chama cha ACT ni project ya ccm, ila Magufuli ni kama alipuuza mipango iliyokuwepo kipindi Cha JK maana alikuwa hampendi Zito Kabwe.
ACT wameahidiwa viti kadhaa ya ubunge na ccm, kwani wameshajua uchaguzi ni Zoezi la kisanii, ila ccm ndio wanaamua nani atagazwe mshindi. Hivyo ACT watatumika kama backup ya ccm katika mapambano na cdm. Ndio maana utaona ACT kwenye siasa zao wanahakikisha wanafanya katika hali ya kuwaridhisha ccm.
Wewe kenge tulisha kufukuza kutoka cdm kwa tabia zako za udokozi wa maliTULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
Act ni ccm tofauti yao ni rangi za jezi zao tuUsikurupuke..
Tofautisha uchawa na busara.
ACT ni taasisi tanzu ya ccm
Wewe huna akili kabisa.. ujugu..Tumia akili zako zote
Jitu lilifukuzwa lkn bado linajifanya kuijua sana cdmWewe UVCCM huna akili kabisa pimbi wewe
Naona upo kazini hapo lumumba.Hao wanafiki tu na walamba asali kiongozi wao si ndo alitukana kwamba tunao mpenda JPM tukazikwe nae chato sasa hiyo heshima wameitoa wapi .Sema wanafiki act wapeleka unafiki wao manyara.