ACT Wazalendo wapendekeza suluhisho la kukabiliana na uhaba wa mafuta, CHADEMA wanazunguka kulaumu

Serikali ichukue ushauri wa ACT wazalendo
Na makampuni yote ya usafirishaji yatukie CNG

Dangote ni bilionea namba moja Afrika lakini magari yake yote ya kiwanda cha Dangote yanayosafirisha Cementi nchi nzina yanatumia gas CNG

Serikali na wasafirishaji binafsi makampuni ya usafirishaji yawe makori au mabadi au tax waanze kutumia CNG ninbei ndogo.mno kuliko.mafuta na unaenda kilomita nyingi.kuliko.kutumia mafuta
Ukiona chama Cha upinzani kinasifiwa na CCM shtuka haraka.
Chama tawala kinatawala raia wote na vyama vyote vya siasa na kama chama tawala kinawajibika sio hiari kupokea maoni toka kwa raia wake na vyama vyote vya siasa vikitoa maoni mazuri ambayo ndani ya Chama tawala hayajspatikana sababu ya wanachama kuendekeza uchawa na kinawajibika kusema asante pia kwa watoa hoja mbadala

Sababu Chama tawala kikisema asante kwa mawazo mbadala ya Chama pinzani hicho chama ndio kinajenga CV yao sio CCM

Wananchi watakiona kuwa kweli hiki chama kiko serious kina mawazo mazuri mno uchaguzi ukija waweza pata viti vingi hata kupata uraisi Sababu michango yao wananchi wanaikubali ya mawazo mbadala

AcT wazalendo iko kwenye right track kama chama cha upinzani
 
Chadema wajinga sana, Ndo maana ACT ina wanachama wengi baada ya CCM - wacha wote tuwe vichaa kama wewe
Nendeni uarabuni mkajilipue kwa ahadi za mabikira wajinga nyinyi eti Act inawanachama baada ya ccm kweli machiz yamelogwa tena.
 
CCM na mjomba wako wamekwenda Dubai kutuchotea mafuta wayajaze.
 
shida
shida kubwa wafanya biashara hizi ni wanasiasa pia, miongoni mwao waziri husika, hizi bei ni faida kwao pia
 
Kwan ACT wanasemaje kuhusu mkataba wa bandari
 
mimi sijui kitu mkuu ninachojua ni kimoja tu hoja za zitto zinatokana na kikao cha makubaliano kati yeye na ccm.. Ni lazima ziwe za kuijenga ccm au kuwahadaa wananchi
Inaonyesha na wewe ni mshiriki wa hivo vikao Ahsante kwa taarifa
 
UNA AKILI NDOGO TOKA LINI CCM IKAKUBALI USHAURI WA VYAMA VYA UPINZANI?
 
Kwa taarifa yako, CCM wanatekeleza kwa ghadhabu zaidi kinachosemwa na cdm, kuliko ushauri wa ACT. Iko wazi kuwa CCM haiwezi kutekeleza chochote kwa kubembeleza. Hayo maneno ya sera sijui upuuzi gani huwa hayana maana, kwani kinachotekelezwa kinatekelezwa kutokana na makusanyo, mikopo, na fedha za wafadhili.

,Hilo neno sera huwa mnalitamka kwa mazoea tu, lakini kiutekelezaji huwa ni randomly tu.
 
HAPA NDIPO UTAONA CHAMA KIPI NI CHAMA SAFI,NA KIPI NI TAKATAKA! (KINAZUNGUKA BILA MAJIBU YA KIMSINGI)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…