YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Serikali ichukue ushauri wa ACT wazalendo
Na makampuni yote ya usafirishaji yatukie CNG
Dangote ni bilionea namba moja Afrika lakini magari yake yote ya kiwanda cha Dangote yanayosafirisha Cementi nchi nzina yanatumia gas CNG
Serikali na wasafirishaji binafsi makampuni ya usafirishaji yawe makori au mabadi au tax waanze kutumia CNG ninbei ndogo.mno kuliko.mafuta na unaenda kilomita nyingi.kuliko.kutumia mafuta
Sababu Chama tawala kikisema asante kwa mawazo mbadala ya Chama pinzani hicho chama ndio kinajenga CV yao sio CCM
Wananchi watakiona kuwa kweli hiki chama kiko serious kina mawazo mazuri mno uchaguzi ukija waweza pata viti vingi hata kupata uraisi Sababu michango yao wananchi wanaikubali ya mawazo mbadala
AcT wazalendo iko kwenye right track kama chama cha upinzani

Chama tawala kinatawala raia wote na vyama vyote vya siasa na kama chama tawala kinawajibika sio hiari kupokea maoni toka kwa raia wake na vyama vyote vya siasa vikitoa maoni mazuri ambayo ndani ya Chama tawala hayajspatikana sababu ya wanachama kuendekeza uchawa na kinawajibika kusema asante pia kwa watoa hoja mbadalaUkiona chama Cha upinzani kinasifiwa na CCM shtuka haraka.