ACT Wazalendo wasusiwa uwanja

ACT Wazalendo wasusiwa uwanja

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kama hii ni saa 10 jioni yaweza kuwa ni muda muafaka wa kujitathmini:

Kufikiria kuunganisha nguvu hata kupitia ma coalition linaweza kuwa jambo lenye tija zaidi.

Tuyaweke maslahi ya taifa mbele. Kipaumbele sasa ni katiba mpya.

Umoja ni nguvu!
 
View attachment 2636971

Karma ya magufuli hii,watu walimuelewa sana magufuli hawa wachumia tumbo kina zito wataonja radha ya chuki Kwa maika mingi

USSR
 
ACT mitandaoni ukiwaona hasa twitaa unaweza kusema bonge la Chama. Field huko upupu mtupu na dalali wao yule 😂😂
 
Yani upinzani wenyewe kwa wenyewe mnatambiana,mi ccm yenyewe kwa yenyewe yanagombana,,hii nchi tuna safari

Mbona hatambiwi mtu hapa bali wanaitishwa kufikiria kuunganisha na wengine maana umoja ni nguvu.
 
Wakimlipa Diamond hapo panajaa..
Swali ni je Demokrasia yetu inaruhusu wasanii kufanya kazi na wapinzani bila hofu??
 
Karma ya magufuli hii,watu walimuelewa sana magufuli hawa wachumia tumbo kina zito wataonja radha ya chuki Kwa maika mingi

USSR

Hawajaijua lugha ya watu. Kwamba hawajaweza kupima watu wanataka nini Ili kuwavutia kwenda kwao? Hilo ni tatizo kubwa sana la kimkakati.
 
Watanzania siyo wajinga sana,ACT chama shikizi walidhani siasa ni sawa na vigodoro.
 
Kama hii ni saa 10 jioni yaweza kuwa ni muda muafaka wa kujitathmini:

View attachment 2636971

Kufikiria kuunganisha nguvu hata kupitia ma coalition linaweza kuwa jambo lenye tija zaidi.

Tuyaweke maslahi ya taifa mbele. Kipaumbele sasa ni katiba mpya.

Umoja ni nguvu!
TUnayo Kazi Moja tu mbele yetu kama Taifa nayo ni Katiba Mpya.
 
Wakimlipa Diamond hapo panajaa..
Swali ni je Demokrasia yetu inaruhusu wasanii kufanya kazi na wapinzani bila hofu??
Labda hawataki kuiga iga ya CCM aka mambuzi
 
Mi siwaonei huruma kabisa Act . Na sijui kwa nn ila naamini hawa wametumika sana kudhoofisha upinzani, They should pay the price!!.
Na wala siamini kwenye coalition with rogue leaders kama kina zitto , chafema wapambanee tu wenyewe.

Abdul Nondo Kuna wito wenu huku
 
Kama hii ni saa 10 jioni yaweza kuwa ni muda muafaka wa kujitathmini:

View attachment 2636971

Kufikiria kuunganisha nguvu hata kupitia ma coalition linaweza kuwa jambo lenye tija zaidi.

Tuyaweke maslahi ya taifa mbele. Kipaumbele sasa ni katiba mpya.

Umoja ni nguvu!
Kwanini wasiunge mkono juhudi za CDM tu?
 
Back
Top Bottom