Pre GE2025 ACT - Wazalendo waunda kamati ya kuandaa ilani ya uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
DOROTHY Semu Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ametea Kamati ya Kuunda ilani ya chama hicho ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Kiongozi huyo ameyatangaza majina hayo leo tarehe 6 Februali 2025.

Kamati hiyo itaongozwa na Mwenyekiti, Emmanuel Lazarus Mvula na Katibu wa Kamati ni Idrisa Kweweta.Wajumbe ni Dk. Elizabeth Sanga, Prof. Omar Fakih, Mary Mongi, Mtutura Abdallah Mtutura, Pavu Abdallah, Edgar Mkosamali, Abdul Nondo, Yasinta Cornell Awiti, Seif Suleiman Hamad, Shangwe Ayo, Humphrey Mrema, Maharagande Mbarala.

Kwa upande wa Sekretarieti ya Kamati ni Mshenga Juma, Jasper Sabuni, Jackline Prosper Ndonde na Said Mahalifa.

Pia soma:
 
Lissu yeye bado?
 
Jana nilikuwa nikimsikiliza Zitto Kabwe akiuongelea mgogoro wa mashariki ya Kongo alifafanua vizuri mno.
 
Back
Top Bottom