ilani ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CCM inatekeleza ilani ya uchaguzi kulingana na ratiba zake na vipaumbele vya waTz, na sio kwa mihemko ya wanasiasa na wanaharakati waliopoteza uelekeo

    Nimeona ni vizuri sana kwa wadau wa Jf, na wananchi wote kwa ujumla, walau kufahamu jambo hili vizuri na kwa uchache, ili hatimae kau na uelewa wa pamoja kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea kwa maslahi mapana ya taifa letu. CCM ndio iliyopewa dhamana ya na umma kuongoza nchi hii, na kupitia...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ukizungumzia suala la Katiba Mpya, maana yake unaizungumzia ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030

    My friends, ladies and gentlemen. Ni ukweli usiopingika kwamba mtu yeyote yule anae izungumzia katiba mpya Tanzania, anazungumzia kuhusu ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030, ambayo ndio inatekelezwa na serikali sikivu ya CCM hivi sasa chini ya Dr Samia Suluhu Hassan. Ndio ilani pekee ya chama...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wazi, utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100% ndio kero na changamoto

    Mabeberu hawataki kabisa kuskia au kuona taifa letu linajitegemee au kufadhili mambo yake ya ndani kama vile uchaguzi kwa 100% Hii inawakera sana, sio tu vibaraka pekeyao, bali pia hata mabwenyenye ya magharibi yenyewe yanayowafadhili vibaraka hao humu nchini. Nawasihi sana viongozi wangu na...
  4. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030 haina cha maana? Majibu haya hapa

    Hawa jamaa wamejua kwamba mara baada tu ya uchaguzi, nchi za magharibi,Jumuiya na taasisi za kimataifa hazitautambua uchaguzi huo na hazitaitambua serikali hivyo itakosa legitimacy. Kwa kufanya hivyo hawatatoa fedha yoyote kwa serikali iliyopoteza legitimacy. Hivyo serikali ya Tanzania hasa ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

    Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi. Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Reforms: Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2025-2030 imeahidi kuleta katiba mpya. Mnaotaka mabadiliko fursa hiyo. Pigieni kura CCM ifikapo Oktoba 2025

    Hivi mnadhani CCM hawataki mabadiliko? Aaahhh wapi! Waliotengeneza ilani ya CCM waliona mbali, wameenda mbali si tu kurekebisha sheria za uchaguzi, CCM imeahidi kutupilia mbali katiba ya sasa na watakuja na katiba mpya! Acha kuhangaika na ka sheria kamoja ka uchaguzi, CCM wanatupa injini yote...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Tauhida Gallos na Miaka Mitano (2020 - 2025) ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 amewasilisha ripoti ya Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mbunge kwa kipindi cha miaka mitano (2021 - 2025) katikap ukumbi wa Uwanja wa Ndege SACCOS uliopo Wilaya ya Magharibi B. Mhe...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT - Wazalendo waunda kamati ya kuandaa ilani ya uchaguzi mkuu 2025

    DOROTHY Semu Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ametea Kamati ya Kuunda ilani ya chama hicho ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kiongozi huyo ameyatangaza majina hayo leo tarehe 6 Februali 2025. Kamati hiyo itaongozwa na Mwenyekiti, Emmanuel Lazarus Mvula na Katibu wa Kamati ni Idrisa...
Back
Top Bottom