GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,415
Reaction score
29,584
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi.
  • Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili kutengeneza mazingira ya kuwa na awamu ya sita yenye mihula miwili na kukwepa ukweli kwamba miaka yake ya uraisi ilipaswa kuwa mitano tu. Samia alisimamia Ilani ya awamu ya tano ambayo aliamua kuiita awamu ya sita huku akijua hakukua na ilani ya uchaguzi ya awamu ya sita.
  • Kama awamu ya Samia ni ya sita, inabadilisha awamu ya uongozi wa Raisi wa Zanzibar pia, chini ya uongozi wa Mwinyi?
  • Uongozi wa ofisi ya Raisi unapaswa utumikie kwa kipindi cha awamu moja yenye maximum miaka 10. Samia alipaswa kutokuwa mgombea wa uraisi wa 2025 kwa sababu "Ofisi ya Raisi" inayomhusu tayari imetumikia kwa miaka 10
  • Je tutegemee Ilani mpya ya Uchaguzi toka CCM kwa kipindi cha 2025 - 2030, au tutarajie Ilani ya uchaguzi ya 2025-2035 ambayo Smia atatekeleza kwa miaka 5 ijayo na kuondoka?
Ni vema CCM wakubali kwamba makosa makubwa yamefanyika na watumie nafasi hii kukubali tuahirishe uchaguzi, ambapo pia itakuwa ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja; kurekebisha kanuni za uchaguzi kama walivyopendekeza Chadema, na pia kurekebisha utoporo waliofanya CCM katika suala la mgombea wa uraisi toka CCM.

Inahitaji viongozi wanyenyekevu kukiri haya mambo mawili na kusema ni vema, ngoja tuahirishe uchaguzi.
 
Tafsiri

Awamu ni kweli siyo ya 6 ni ya 5

Ila Katiba ya JMT inampa fursa Dr Samia kugombea sasa na atakaa kwa miaka 5 tu na Kwahiyo awamu ya 6 itakuwa ya miaka 5 kisha itakuja awamu ya 7

Kule Zanzibar awamu ya Idrisa ilikuwa ni miaka 5 tu

Ahsanteni sana
 
Kung'ang'ana namna hii yote Ili iwe nini, uongozi si kwa dhamana? Sasa kama unaotaka kuwatawala wameshaonekana hawakutaki na kukuchoka ni lazima uendelee kusalia hata kama ni kwa mabavu, hivi hii nchi imegeuka na kuwa nchi ya mabavu??

Yatosha sana, ni lazima atupishe na aachie kiti.
 
Tafsiri

Awamu ni kweli siyo ya 6 ni ya 5

Ila Katiba ya JMT inampa fursa Dr Samia kugombea sasa na atakaa kwa miaka 5 tu na Kwahiyo awamu ya 6 itakuwa ya miaka 5 kisha itakuja awamu ya 7

Kule Zanzibar awamu ya Idrisa ilikuwa ni miaka 5 tu

Ahsanteni sana
Ndio hicho Polepole anachosema. Kwamba kama anagombea katika awamu mpya ya 6, anapaswa kupitia mchakato rasmi wa awamu mpya ya uraisi, pamoja na wagombea wengine, wakianza na majina ya watia nia hata 20 na kuchuja hadi wapate majina matano, kisha matatu kisha moja

Samia anajua hili na alijua sio rahisi kupita kwenye mchakato kama huo, na kwa ushauri wa JMK wakaamua kuchukua short cut. Tunajua JMK anamsaidia akitarajia favors toka kwake, kitu ambacho Polepole anajua kinaelekea wapi
 
Rais mtetezi atapitiaje mchakato wa kawaida?

Nilivyomuelewa Polepole Tatizo lake siyo Dr Samia kuna mwingine 😄
 
Jmn mpole pole watakuteka hii (mikijani) ni ving'ang'anizi sanaaa
 
Unajua Hii issue ya Polepole na Gwajima kuzugumza nje ya vikao vya CCM tayari unaona kuna hufa mkubwa sana kwenye uongozi kwa sasa umetokea kuwa mkubwa kwa sababu ya uchaguzi.Kuna kitu hakiko sawa kwenye uongozi wa juu na shida moja pia aliyo nayo Mwenyekiti ni kila wakati kubadilisha badilisha watu .Walipokuwa Kinana na Mang'ula muda mrefu na wazoefu Kulikuwa na nidhamu sasa hivi yaani hata akieleweki .Mzee wa Musoma,CPA ,Nchimbi akina sijui Makonda neeeee kwa kweli sijui kama kuna kitu .Kingine ,waliomshauri Mwenyekiti kuua upinzani hawakumshauri sawasawa kwani ungekuta team yake aiko aidle wanashughulika na upinzani na sio Uraisi so ili kubalance vitu ukiona sehemu wako kimya ujue ndani kutawaka moto.Ebu Mwenyekiti jitafakari ,Hata ukirudi kuwa raisi kujenga kuta zilizobomoka kwa kuweka viraka itakuwa ngumu sana.
 
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi.
  • Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili kutengeneza mazingira ya kuwa na awamu ya sita yenye mihula miwili na kukwepa ukweli kwamba miaka yake ya uraisi ilipaswa kuwa mitano tu
  • Kama awamu ya Samia ni ya sita, inabadilisha awamu ya uongozi wa Raisi wa Zanzibar pia, chini ya uongozi wa Mwinyi?
  • Uongozi wa ofisi ya Raisi unapaswa utumikie kwa kipindi cha awamu moja yenye maximum miaka 10. Samia alipaswa kutokuwa mgombea wa uraisi wa 2025 kwa sababu "Ofisi ya Raisi" inayomhusu tayari imetumikia kwa miaka 10
  • Je tutegemee Ilani mpya ya Uchaguzi toka CCM kwa kipindi cha 2025 - 2030, au tutarajie Ilani ya uchaguzi ya 2025-2035 ambayo Smia atatekeleza kwa miaka 5 ijayo na kuondoka?
Ni vema CCM wakubali kwamba makosa makubwa yamefanyika na watumie nafasi hii kukubali tuahirishe uchaguzi, ambapo pia itakuwa ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja; kurekebisha kanuni za uchaguzi kama walivyopendekeza Chadema, na pia kurekebisha utoporo waliofanya CCM katika suala la mgombea wa uraisi toka CCM.

Inahitaji viongozi wanyenyekevu kukiri haya mambo mawili na kusema ni vema, ngoja tuahirishe uchaguzi.
Kukusaidia tu ingawa unahisi unajua, kila kipindi cha Uchaguzi Mkuu kina Ilani yake. Yaani Ilani ya 2020/2025 ni tofauti na ya 2025/2030!
 
Mengine upo sawa kabisa, ila kwenye Ilani inaonekana hujui ni kitu gani.

Ilani ni miaka mitano mitano sio kumi. Ilani huwa mpya kila baada ya miaka mitano
 
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi.
  • Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili kutengeneza mazingira ya kuwa na awamu ya sita yenye mihula miwili na kukwepa ukweli kwamba miaka yake ya uraisi ilipaswa kuwa mitano tu
  • Kama awamu ya Samia ni ya sita, inabadilisha awamu ya uongozi wa Raisi wa Zanzibar pia, chini ya uongozi wa Mwinyi?
  • Uongozi wa ofisi ya Raisi unapaswa utumikie kwa kipindi cha awamu moja yenye maximum miaka 10. Samia alipaswa kutokuwa mgombea wa uraisi wa 2025 kwa sababu "Ofisi ya Raisi" inayomhusu tayari imetumikia kwa miaka 10
  • Je tutegemee Ilani mpya ya Uchaguzi toka CCM kwa kipindi cha 2025 - 2030, au tutarajie Ilani ya uchaguzi ya 2025-2035 ambayo Smia atatekeleza kwa miaka 5 ijayo na kuondoka?
Ni vema CCM wakubali kwamba makosa makubwa yamefanyika na watumie nafasi hii kukubali tuahirishe uchaguzi, ambapo pia itakuwa ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja; kurekebisha kanuni za uchaguzi kama walivyopendekeza Chadema, na pia kurekebisha utoporo waliofanya CCM katika suala la mgombea wa uraisi toka CCM.

Inahitaji viongozi wanyenyekevu kukiri haya mambo mawili na kusema ni vema, ngoja tuahirishe uchaguzi.

Samia na Kikwete wana lawama nyingi sana kuharakisha uteuzi na kuharibu utaratibu wa kumpata mgombea kwa kutumia ambush tactics. Hili hawakosi lawama na kwa kweli uteuzi unatakiwa kurudiwa, ama sivyo hata Samia akiwa rais atakosa uhalali fulani.

Lakini pia.

Samia kwa kauli yake amesema 2030 hatagombea urais, atarudi Kizimkazi, na kwa katiba ya sasa haruhusiwi kugombea.

Samia , kwa katiba ya nchi, ana haki ya kugombea urais mwaka 2025 na kuwa rais mpaka 2030, hili jambo limewekwa wazi kwenye katiba si jambo la kuganga ramli habari za "ofisi ya urais imetumika kwa miaka 10".

Katiba ya nchi imeweka wazi Makamu wa Rais akiwa rais kwa kifo cha rais ni wakati gani anaweza kugombea kipindi kimoja tu na wakati gani anaweza kugombea hata vioindi viwili.

Ibara ya 40 (4) inasema hivi kuhusu makamu wa rais kugombea urais baada ya rais kufariki. Nimeiweka hapo chini isome.

Moja ya items za ibara ya 37(5) ni mtu, makamu wa rais, kushika urais baada ya rais kufariki.

40 (4)
Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa
mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua
miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili,
lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au
zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu.
 
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi.
  • Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili kutengeneza mazingira ya kuwa na awamu ya sita yenye mihula miwili na kukwepa ukweli kwamba miaka yake ya uraisi ilipaswa kuwa mitano tu
  • Kama awamu ya Samia ni ya sita, inabadilisha awamu ya uongozi wa Raisi wa Zanzibar pia, chini ya uongozi wa Mwinyi?
  • Uongozi wa ofisi ya Raisi unapaswa utumikie kwa kipindi cha awamu moja yenye maximum miaka 10. Samia alipaswa kutokuwa mgombea wa uraisi wa 2025 kwa sababu "Ofisi ya Raisi" inayomhusu tayari imetumikia kwa miaka 10
  • Je tutegemee Ilani mpya ya Uchaguzi toka CCM kwa kipindi cha 2025 - 2030, au tutarajie Ilani ya uchaguzi ya 2025-2035 ambayo Smia atatekeleza kwa miaka 5 ijayo na kuondoka?
Ni vema CCM wakubali kwamba makosa makubwa yamefanyika na watumie nafasi hii kukubali tuahirishe uchaguzi, ambapo pia itakuwa ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja; kurekebisha kanuni za uchaguzi kama walivyopendekeza Chadema, na pia kurekebisha utoporo waliofanya CCM katika suala la mgombea wa uraisi toka CCM.

Inahitaji viongozi wanyenyekevu kukiri haya mambo mawili na kusema ni vema, ngoja tuahirishe uchaguzi.
kumbe mama samia alisimamia ilani ya CCM ya awamu ya tano.heee.kazi ipo wangosha.ila ni kweli.tulifanya makosa kuiita awamu ya sita bila ilani mpya ya chama.na ndiyo maana kila miradi aliyotekeleza ni ya awamu ya tano na anayesifiwa ni hati JPM aliyeshiriki kuiandaa.sasa kama kwenye uchaguzi huu inaandaliwa ilani mpya ya CCM ,ni dhahiri mama akishinda ataitekeleza kwa miaka mitano tu.in that case CCM iandae ilani ya miaka mitano tu
 
Back
Top Bottom