GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tafsiri

Awamu ni kweli siyo ya 6 ni ya 5

Ila Katiba ya JMT inampa fursa Dr Samia kugombea sasa na atakaa kwa miaka 5 tu na Kwahiyo awamu ya 6 itakuwa ya miaka 5 kisha itakuja awamu ya 7

Kule Zanzibar awamu ya Idrisa ilikuwa ni miaka 5 tu

Ahsanteni sana
Ni kwanini alijipitisha?? Kwa nini hakusubiri mpaka Bunge livunjwe??

Polepole bado anahoji
 
Samia na Kikwete wana lawama nyingi sana kuharakisha uteuzi na kuharibu utaratibu wa kumpata mgombea kwa kutumia ambush tactics. Hili hawakosi lawama na kwa kweli uteuzi unatakiwa kurudiwa, ama sivyo hata Samia akiwa rais atakosa uhalali fulani.

Lakini pia.

Samia kwa kauli yake amesema 2030 hatagombea urais, atarudi Kizimkazi, na kwa katiba ya sasa haruhusiwi kugombea.

Samia , kwa katiba ya nchi, ana haki ya kugombea urais mwaka 2025 na kuwa rais mpaka 2030, hili jambo limewekwa wazi kwenye katiba si jambo la kuganga ramli habari za "ofisi ya urais imetumika kwa miaka 10".

Katiba ya nchi imeweka wazi Makamu wa Rais akiwa rais kwa kifo cha rais ni wakati gani anaweza kugombea kipindi kimoja tu na wakati gani anaweza kugombea hata vioindi viwili.

Ibara ya 40 (4) inasema hivi kuhusu makamu wa rais kugombea urais baada ya rais kufariki. Nimeiweka hapo chini isome.

Moja ya items za ibara ya 37(5) ni mtu, makamu wa rais, kushika urais baada ya rais kufariki.

40 (4)
Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa
mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua
miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili,
lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au
zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu.

unajua kipengele hichi cha katiba ni kibovu sana na hakifai.kwanza kinaweka mazingira hatarishi kwa rais aliyepo madarakani .maana ikiwa makamu wa rais hana mapenzi mema na rais anaweza kutengeneza mazingira ya kifo.

la pili ni kwamba kama awamu za uongozi ni miaka 10 ,basi katiba ilitakiwa itamke bayana kwamba kama rais aliyeko madarakani na akafariki kipindi cha kwanza cha uongozi wake na ametawala miaka chini ya mitatu ,makamu wa rais atarushusiwa kugombea mara moja tu.na kama atafariki baada ya kuongoza kwa miaka mitatu na zaidi kipindi cha kwanza cha uongozi wake ,basi makamu wa rais atagombea mara mbili.

katiba ina ufa mkubwa katika hili.
 
Tafsiri

Awamu ni kweli siyo ya 6 ni ya 5

Ila Katiba ya JMT inampa fursa Dr Samia kugombea sasa na atakaa kwa miaka 5 tu na Kwahiyo awamu ya 6 itakuwa ya miaka 5 kisha itakuja awamu ya 7

Kule Zanzibar awamu ya Idrisa ilikuwa ni miaka 5 tu

Ahsanteni sana
Mjadala umepamba moto

Ususahau taratibu za chama Yeye hapasi kuwa mmoja wa wagombea.

Anatakiwa akae Pembeni kabisa
 
unajua kipengele hichi cha katiba ni kibovu sana na hakifai.kwanza kinaweka mazingira hatarishi kwa rais aliyepo madarakani .maana ikiwa makamu wa rais hana mapenzi mema na rais anaweza kutengeneza mazingira ya kifo.

la pili ni kwamba kama awamu za uongozi ni miaka 10 ,basi katiba ilitakiwa itamke bayana kwamba kama rais aliyeko madarakani na akafariki kipindi cha kwanza cha uongozi wake na ametawala miaka chini ya mitatu ,makamu wa rais atarushusiwa kugombea mara moja tu.na kama atafariki baada ya kuongoza kwa miaka mitatu na zaidi kipindi cha kwanza cha uongozi wake ,basi makamu wa rais atagombea mara mbili.

katiba ina ufa mkubwa katika hili.
Ukimchagua mtu anayeweza kuua ili kuwa rais, muuaji, kuwa makamu wa rais nchi yako ina tatizo kubwa kuliko katiba.

Kuhusu huo muda wa urais ulichoandika wewe na katiba inavyosema katika ibara ya 40 (4) sijaelewa tofauti ni nini.
 
Jana nimesikiliza mazungumzo ya Polepole na Jenerali Ulimwengu.

Nimefikiria sana Polepole anarudia hoja zake anasema CCM kuna utamaduni kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawaruhusiwi kuwa Rais. Kwa sababu ikiwa wamekaa miaka yao hawajafanya lolote muhimu, hawawezi kufanya jipya wakiwa rais.

Sasa hapo ina maana CCM wana utamaduni wa kutegemea watu wasifanye vizuri? Vipi kama mtu akiwa Waziri Mkuu au Makamu wa Rais akafanya vizuri sana, na bado anahitajika kuwa Rais?

Polepole katengeneza sheria ya kufuata utamaduni wa kutegemea watu washindwe tu. Is this the honest CCM psychology kwamba nchi hii washashindwa kuiongoza sasa wanapokezana ulaji tu?

Pia, kwa nini mambo muhimu ya kuendesha chama na nchi yafanywe kwa utamaduni, kitu ambacho hakijaandikwa popote, hakuna kikao kilichopitisha na hivyo hakuna kikao cha kubadilisha siku wakiona utamaduni umepitwa na wakati, na zaidi, habari za utamaduni ni arbitrary na zinaweza kutumika kibaguzi kum target mtu mmoja mmoja tu?

Samia na Kikwete inawezekana wana lawama kubwa sana kwa kufanya uteuzi kwa papara na ambush. Caesar's wife should not be so easily tainted. Walitakiwa kuwa meticulous kuhakikisha hakuna malalamiko. They failed.

Lakini ukifuatilia hoja ya utamaduni Polepole mbona anachagua utamaduni gani wa kufuata, anajua utamaduni mwingine wa CCM ni kutatua matatizo yao kwenye vikao vya ndani, mbona hajaufuata utamaduni huo? Haoni habari za utamaduni ni sehemu ya tatizo si sehemu ya utatuzi wa tatizo?

Hizi habari za kuongoza kwa utamaduni ndiyo zinaharibu uongozi wa kisheria. Hili ni tatizo.

Hizi hoja za utamaduni na desturi zinanitatiza kweli kwa sababu ziko vague na zinakuwa applied arbitrarily.
 
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi.
  • Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili kutengeneza mazingira ya kuwa na awamu ya sita yenye mihula miwili na kukwepa ukweli kwamba miaka yake ya uraisi ilipaswa kuwa mitano tu
  • Kama awamu ya Samia ni ya sita, inabadilisha awamu ya uongozi wa Raisi wa Zanzibar pia, chini ya uongozi wa Mwinyi?
  • Uongozi wa ofisi ya Raisi unapaswa utumikie kwa kipindi cha awamu moja yenye maximum miaka 10. Samia alipaswa kutokuwa mgombea wa uraisi wa 2025 kwa sababu "Ofisi ya Raisi" inayomhusu tayari imetumikia kwa miaka 10
  • Je tutegemee Ilani mpya ya Uchaguzi toka CCM kwa kipindi cha 2025 - 2030, au tutarajie Ilani ya uchaguzi ya 2025-2035 ambayo Smia atatekeleza kwa miaka 5 ijayo na kuondoka?
Ni vema CCM wakubali kwamba makosa makubwa yamefanyika na watumie nafasi hii kukubali tuahirishe uchaguzi, ambapo pia itakuwa ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja; kurekebisha kanuni za uchaguzi kama walivyopendekeza Chadema, na pia kurekebisha utoporo waliofanya CCM katika suala la mgombea wa uraisi toka CCM.

Inahitaji viongozi wanyenyekevu kukiri haya mambo mawili na kusema ni vema, ngoja tuahirishe uchaguzi.
Mada Fikirishi. Mada zenye Fikra Pevu.

Maana yake ni kwamba baada ya miaka mitano, huyo huyo tapeli wa kike na GENGE lake atadai hajamaliza utekelezaji wa Ilani.
Watu laghai, ndivo walivyo hivyo.
 
WAnafiki ni wale waliokaa kimya kwa maslahi yao.

Polepole kawaachia na ofisi havana cuba bado mnamuita mnafiki.

Binafsi nasema Samia SIMTAKI.

Wamuachie Tundu Lisu huru, na aruhusiwe kugombea.

Huo uhaini fake wamuondolee ili awe na sifa ya kugombea urais.
 
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi.
  • Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili kutengeneza mazingira ya kuwa na awamu ya sita yenye mihula miwili na kukwepa ukweli kwamba miaka yake ya uraisi ilipaswa kuwa mitano tu
  • Kama awamu ya Samia ni ya sita, inabadilisha awamu ya uongozi wa Raisi wa Zanzibar pia, chini ya uongozi wa Mwinyi?
  • Uongozi wa ofisi ya Raisi unapaswa utumikie kwa kipindi cha awamu moja yenye maximum miaka 10. Samia alipaswa kutokuwa mgombea wa uraisi wa 2025 kwa sababu "Ofisi ya Raisi" inayomhusu tayari imetumikia kwa miaka 10
  • Je tutegemee Ilani mpya ya Uchaguzi toka CCM kwa kipindi cha 2025 - 2030, au tutarajie Ilani ya uchaguzi ya 2025-2035 ambayo Smia atatekeleza kwa miaka 5 ijayo na kuondoka?
Ni vema CCM wakubali kwamba makosa makubwa yamefanyika na watumie nafasi hii kukubali tuahirishe uchaguzi, ambapo pia itakuwa ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja; kurekebisha kanuni za uchaguzi kama walivyopendekeza Chadema, na pia kurekebisha utoporo waliofanya CCM katika suala la mgombea wa uraisi toka CCM.

Inahitaji viongozi wanyenyekevu kukiri haya mambo mawili na kusema ni vema, ngoja tuahirishe uchaguzi.
Samia hakuwa chaguo la urais na hafanani katiba ilimbeba,kawa rais kwa mujibu wa katiba sasa tunataka wajitokeze wengine tuchague akiwemo yeye kama atatoboa au lah,asijipitishe kwa mlango wa nyuma
 
Ila Katiba ya JMT inampa fursa Dr Samia kugombea sasa na atakaa kwa miaka 5 tu na Kwahiyo awamu ya 6 itakuwa ya miaka 5 kisha itakuja awamu ya 7
Hii ipo kwenye kifungu gani cha Katiba; zote, ya CCM, na ya Nchi?

Kuna mahali popote ndani ya katiba hizo kuwa huyo mgombea asishindane na wengine ndani ya chama na nje ya chama?

Kuna maelekezo yoyote ndani ya katiba hizo inayo elekeza uwepo wa "awamu ya miaka mitano"?
 
Hii ipo kwenye kifungu gani cha Katiba; zote, ya CCM, na ya Nchi?

Kuna mahali popote ndani ya katiba hizo kuwa huyo mgombea asishindane na wengine ndani ya chama na nje ya chama?
Wapi niliposema asishindane?

Tuanzie hapo 😄
 
Kabla ya kutafakari, umejiuliza kama hizo akili za kutafakari unazo?
 
Jana nimesikiliza mazungumzo ya Polepole na Jenerali Ulimwengu.

Nimefikiria sana Polepole anarudia hoja zake anasema CCM kuna utamaduni kuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika hawaruhusiwi kuwa Rais. Kwa sababu ikiwa wamekaa miaka yao hawajafanya lolote muhimu, hawawezi kufanya jipya wakiwa rais.

Sasa hapo ina maana CCM wana utamaduni wa kutegemea watu wasifanye vizuri? Vipi kama mtu akiwa Waziri Mkuu au Makamu wa Rais akafanya vizuri sana, na bado anahitajika kuwa Rais?

Polepole katengeneza sheria ya kufuata utamaduni wa kutegemea watu washindwe tu. Is this the honest CCM psychology kwamba nchi hii washashindwa kuiongoza sasa wanapokezana ulaji tu?

Pia, kwa nini mambo muhimu ya kuendesha chama na nchi yafanywe kwa utamaduni, kitu ambacho hakijaandikwa popote, hakuna kikao kilichopitisha na hivyo hakuna kikao cha kubadilisha siku wakiona utamaduni umepitwa na wakati, na zaidi, habari za utamaduni ni arbitrary na zinaweza kutumika kibaguzi kum target mtu mmoja mmoja tu?

Samia na Kikwete inawezekana wana lawama kubwa sana kwa kufanya uteuzi kwa papara na ambush. Caesar's wife should not be so easily tainted. Walitakiwa kuwa meticulous kuhakikisha hakuna malalamiko. They failed.

Lakini ukifuatilia hoja ya utamaduni Polepole mbona anachagua utamaduni gani wa kufuata, anajua utamaduni mwingine wa CCM ni kutatua matatizo yao kwenye vikao vya ndani, mbona hajaufuata utamaduni huo? Haoni habari za utamaduni ni sehemu ya tatizo si sehemu ya utatuzi wa tatizo?

Hizi habari za kuongoza kwa utamaduni ndiyo zinaharibu uongozi wa kisheria. Hili ni tatizo.

Hizi hoja za utamaduni na desturi zinanitatiza kweli kwa sababu ziko vague na zinakuwa applied arbitrarily.
Hilo nahisi waliliweka Ili hao waliyotajwa hapo juu wasiweze kumhujumu mkuu wao wa kazi.it is a very good idea .si unaona yanayotokea kule Kenya?
 
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi.
  • Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili kutengeneza mazingira ya kuwa na awamu ya sita yenye mihula miwili na kukwepa ukweli kwamba miaka yake ya uraisi ilipaswa kuwa mitano tu
  • Kama awamu ya Samia ni ya sita, inabadilisha awamu ya uongozi wa Raisi wa Zanzibar pia, chini ya uongozi wa Mwinyi?
  • Uongozi wa ofisi ya Raisi unapaswa utumikie kwa kipindi cha awamu moja yenye maximum miaka 10. Samia alipaswa kutokuwa mgombea wa uraisi wa 2025 kwa sababu "Ofisi ya Raisi" inayomhusu tayari imetumikia kwa miaka 10
  • Je tutegemee Ilani mpya ya Uchaguzi toka CCM kwa kipindi cha 2025 - 2030, au tutarajie Ilani ya uchaguzi ya 2025-2035 ambayo Smia atatekeleza kwa miaka 5 ijayo na kuondoka?
Ni vema CCM wakubali kwamba makosa makubwa yamefanyika na watumie nafasi hii kukubali tuahirishe uchaguzi, ambapo pia itakuwa ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja; kurekebisha kanuni za uchaguzi kama walivyopendekeza Chadema, na pia kurekebisha utoporo waliofanya CCM katika suala la mgombea wa uraisi toka CCM.

Inahitaji viongozi wanyenyekevu kukiri haya mambo mawili na kusema ni vema, ngoja tuahirishe uchaguzi.
Ilani ni miaka mitano,,,siyo lazima rais atoke CCM.
Shida ya vyama vya upinzani muda mwingi vinautumia kuisema CCM,, na shida ya CCM muda mwingi inautumia kujiimarisha,,,haipotezi muda kuwasema wapinzani..

Binafsi yangu nimechoka na CCM lakini siwajui wapinzani kwasababu hawajiongelei ubora wao ni upi ,,,wanazungumza tu mapungufu ya CCM ambayo hayahitaji kusimuliwa.
 
Inaonekana kinana ana Madini sana Mkapa kamtumia kikwete kamtumia Magu kamtumia Samia kamtumia na Magula pia hawa ni wazee wenye busara kidogo
 
Back
Top Bottom