Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
My friends, ladies and gentlemen.
Ni ukweli usiopingika kwamba mtu yeyote yule anae izungumzia katiba mpya Tanzania, anazungumzia kuhusu ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030, ambayo ndio inatekelezwa na serikali sikivu ya CCM hivi sasa chini ya Dr Samia Suluhu Hassan.
Ndio ilani pekee ya chama cha siasa Tanzania yenye agenda ya katiba mpya na ndio ilani ya uchaguzi iliyokubaliwa na wananchi wapiga kura kwa zaidi ya 98%.
Hakuna haja ya kubabaika na porojo au stori za pata potea za watu ambao walishapoteza directions za kisiasa na hawana tena uelekeo mwingine mpya, bali wamestuck na kumanga manga na upotoshaji ambao haujawasadia wenyewe na wala hauwasaidii chochote na kujikuta hawaelewiki wanataka nini, mara leo wanakubali hiki, kesho wanakataa hicho hicho, halafu keshokutwa wanakisusia, na kisha mtondogoo wanadakia kingine n.k.
Wito wangu kwa waTanzania wote, tuwaunge mkono viongozi wetu wa kitaifa ikiwa ni pamoja na Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, makamu wa Rais Dkt. Emmanuel John Nchimbi na waziri mkuu Dr Mwigulu Nchemba, katika kuongoza nchi na wanapotuongoza kama taifa katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM na kupambana usiku na mchana bila kuchoka, kuyafikia matamanio ya waTanzania kisiasa, kijamii na kiuchumi ndani yake ikiwemo katiba mpya.
Tuunge mkono utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa pamoja kama taifa.🐒
Mungu Ibariki Tanzania