Ukizungumzia suala la Katiba Mpya, maana yake unaizungumzia ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030

Ukizungumzia suala la Katiba Mpya, maana yake unaizungumzia ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030

Naombea iwe hivyo maana tuliaminishwa hivyo tukawa na bunge la katiba mwisho wa yote hela ya waTZ ikaenda na maji hadi leo na hakuna wa kuwajibishwa ukitilia maanani kwamba TZ ni nchi maskini iliyojaa madeni lukuki.
Gentleman,
hapatakua tena na wale majambazi, vibaka wa kisiasa na matapeli wa kuchukua posho na kisha kutokomea mitini kwa makusudi, ili wakwamishe mchakato na kisha eti uitishwe tena na uwe mchakato mrefu zaidi ili waendelea kuchukua posho na kujaza matumbo yao.

tunapoelekea kwenye awamu hii ya waTanzania wote kupata katiba mpya hao majambazi na vibaka wa kisiasa watadhibitiwa mapema na kwanza hawapo tena kwenye medani ya siasa za Tanzania 🐒
 
Muhimu mchakato uwe meaningful siyo kama Tume huru ya Uchaguzi ambapo mgombea ndiye anateua wajumbe wote pamoja na mkurugenzi wake alafu anakuwa na mamlaka ya kuwatimua muda wowote bila kutoa sababu na hawezi fikishwa mahakamani.
Kukiwa na mwelekeo kama huo kususia kuko pale pale mkuu😂😂😂😂
 
huna haja ya kuyumbayumba gentleman plz!

hakuna sababu ya kwenda mbele na kisha unarudi nyuma kama wale ambao hawajui wanalotaka nchini 🐒
 
Gentleman,
hakuna haja ya kuyumbishwa kifikra au kubabaishwa na teknolojia kwenye mambo halisi. Try to be you phisical and mentally utainjoy sana :1Head:
That is why I am providing tangible facts to justify my doubts on availability of new constitution.
As such there is no clear road map to-date.
 
My friends, ladies and gentlemen.

Ni ukweli usiopingika kwamba mtu yeyote yule anae izungumzia katiba mpya Tanzania, anazungumzia kuhusu ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030, ambayo ndio inatekelezwa na serikali sikivu ya CCM hivi sasa chini ya Dr Samia Suluhu Hassan.

Ndio ilani pekee ya chama cha siasa Tanzania yenye agenda ya katiba mpya na ndio ilani ya uchaguzi iliyokubaliwa na wananchi wapiga kura kwa zaidi ya 98%.

Hakuna haja ya kubabaika na porojo au stori za pata potea za watu ambao walishapoteza directions za kisiasa na hawana tena uelekeo mwingine mpya, bali wamestuck na kumanga manga na upotoshaji ambao haujawasadia wenyewe na wala hauwasaidii chochote na kujikuta hawaelewiki wanataka nini, mara leo wanakubali hiki, kesho wanakataa hicho hicho, halafu keshokutwa wanakisusia, na kisha mtondogoo wanadakia kingine n.k.

Wito wangu kwa waTanzania wote, tuwaunge mkono viongozi wetu wa kitaifa ikiwa ni pamoja na Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, makamu wa Rais Dkt. Emmanuel John Nchimbi na waziri mkuu Dr Mwigulu Nchemba, katika kuongoza nchi na wanapotuongoza kama taifa katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM na kupambana usiku na mchana bila kuchoka, kuyafikia matamanio ya waTanzania kisiasa, kijamii na kiuchumi ndani yake ikiwemo katiba mpya.

Tuunge mkono utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa pamoja kama taifa.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Back
Top Bottom