Kwanini Ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030 haina cha maana? Majibu haya hapa

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,824
Hawa jamaa wamejua kwamba mara baada tu ya uchaguzi, nchi za magharibi,Jumuiya na taasisi za kimataifa hazitautambua uchaguzi huo na hazitaitambua serikali hivyo itakosa legitimacy.

Kwa kufanya hivyo hawatatoa fedha yoyote kwa serikali iliyopoteza legitimacy. Hivyo serikali ya Tanzania hasa ya uongozi huu imekuwa ikitegemea zaidi mikopo na misaada kutoka huko safari hii watakosa na ndiyo maana mnasikia kwenye kampeni katika hali isiyo ya kawaida mgombea wao anasisitiza kwamba tutafanya kwa Kodi zetu wenyewe. Very strange kwake.

Hivyo hawatakuwa na fedha za kuanzisha miradi ya kimkakati zaidi ya SGR ambayo ni ilani ya 2020-2025 na wameshindwa pia.

Fuatilia kwa makini hotuba za mgombea sikiliza vizuri Kisha tumia akili Yako kuchambua. Utagundua kwamba kwanza hotuba zake ni za mwendokasi na anakwepa kuahidi chochote kwenye eneo husika.

Na mbaya zaidi uelewa wake ni mdogo hivyo ameahidi matrekta million 10 kitu ambacho hakiwezekani na hakijawahi kufanywa hapa chini ya jua.

Trekta million 10 kwa population ya watanzania wanaokadiriwa kuwa million 60 ni sawa na kila watanzania 6 wanapata trekta. This costs trillions of money.

Hapo Bado hatujapigwa na kufisadiwa na akina kizigha.

Kazi kwenu watanzania kuuza nchi au kuibakiza.
 
ungetuwekea na Ilani ya CCM tujisomee wenyewe
Hakuna ILANI pale ni takataka yenye vioja vya kubeba watu kwenye malori kwenda kwenye kampeni na kutoa mafuta kwa madereva wa bodaboda.
 
Hawa jamaa wamejua kwamba mara baada tu ya uchaguzi, nchi za magharibi,Jumuiya na taasisi za kimataifa hazitautambua uchaguzi huo na hazitaitambua serikali hivyo itakosa legitimacy.

Kwa kufanya hivyo hawatatoa fedha yoyote kwa serikali iliyopoteza legitimacy. Hivyo serikali ya Tanzania hasa ya uongozi huu imekuwa ikitegemea zaidi mikopo na misaada kutoka huko safari hii watakosa na ndiyo maana mnasikia kwenye kampeni katika hali isiyo ya kawaida mgombea wao anasisitiza kwamba tutafanya kwa Kodi zetu wenyewe. Very strange kwake.

Hivyo hawatakuwa na fedha za kuanzisha miradi ya kimkakati zaidi ya SGR ambayo ni ilani ya 2020-2025 na wameshindwa pia.

Fuatilia kwa makini hotuba za mgombea sikiliza vizuri Kisha tumia akili Yako kuchambua. Utagundua kwamba kwanza hotuba zake ni za mwendokasi na anakwepa kuahidi chochote kwenye eneo husika.

Na mbaya zaidi uelewa wake ni mdogo hivyo ameahidi matrekta million 10 kitu ambacho hakiwezekani na hakijawahi kufanywa hapa chini ya jua.

Trekta million 10 kwa population ya watanzania wanaokadiriwa kuwa million 60 ni sawa na kila watanzania 6 wanapata trekta. This costs trillions of money.

Hapo Bado hatujapigwa na kufisadiwa na akina kizigha.

Kazi kwenu watanzania kuuza nchi au kuibakiza.
A big blander! Air hostess haya kwake ni makubwa.
Unajua CCM or Magufuli for that matter, walimweka Samia kuvutia kura za wanawake, but in reality walijua kuwa hana uwezo wa kuongoza nchi!
 
Kwa mtazamo wangu nimejaribu kuipitia ilani hii na nimejaribu kulinganisha na ilani inayomaliza muda wake naona kama inayomaliza muda wake ni tamu zaidi ya hii mpya. Nimesema kwa mtazamo wangu. Na huenda na kuna sababu za msingi kwamba bajeti zijazo tunatakiwa kujitegemea zaidi kuliko kutegemea mikopo
 
Back
Top Bottom