Ni wazi, utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100% ndio kero na changamoto

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Mabeberu hawataki kabisa kuskia au kuona taifa letu linajitegemee au kufadhili mambo yake ya ndani kama vile uchaguzi kwa 100%

Hii inawakera sana, sio tu vibaraka pekeyao, bali pia hata mabwenyenye ya magharibi yenyewe yanayowafadhili vibaraka hao humu nchini.

Nawasihi sana viongozi wangu na waTanzania wote wa kitaifa, hususani Dr.Samia Suluhu Hassan, mkuu wa nchi, Dr. Emmanuel John Nchimbi, Makamu Mkuu wa nchi, na Dr. Mwigulu Nchemba waziri mkuu, kuendeleza moto huo huo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 2025-2030 inawakera zaidi.

Ilani za uchaguzi zilizopita, ziliwakera pia,
ila kasi ya utekelezaji wa ilani hii ya 2025-2030 inawakera zaidi mabwenyenye ya magharibi na hivi sasa wana weweseka na kujaribu kutatiza utekelezaji zaidi.

Msisitetereke hata kidogo, maamuzi yao ni hasara kwao na wananchi wao. Sisi kama taifa huru, tuendelee kuchapa kazi kwa bidii, weledi na maarifa zaidi na kuwaletea waTanzania maendeleo, ili mabeberu wakereke zaidi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Screenshot_20260617-221102~2.png
 
Kwani mabeberu wametuzuia kwa lipi ili tusijitegemee?
Wao wanataka tusitegemee misaada yao ili tujitegemee.
Mama alishawaambia "Who are you?"
Na wao sasa wanatujibu,Okay let us show you how are we!-Hakuna misaada.
 
Back
Top Bottom