Ni wazi, utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100% ndio kero na changamoto

Ni wazi, utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100% ndio kero na changamoto

Ondoa ujinga wako hapa wewe
Screenshot_20260523-112653~2.png
 
Mabeberu hawataki kabisa kuskia au kuona taifa letu linajitegemee au kufadhili mambo yake ya ndani kama vile uchaguzi kwa 100%

Hii inawakera sana, sio tu vibaraka pekeyao, bali pia hata mabwenyenye ya magharibi yenyewe yanayowafadhili vibaraka hao humu nchini.

Nawasihi sana viongozi wangu na waTanzania wote wa kitaifa, hususani Dr.Samia Suluhu Hassan, mkuu wa nchi, Dr. Emmanuel John Nchimbi, Makamu Mkuu wa nchi, na Dr. Mwigulu Nchemba waziri mkuu, kuendeleza moto huo huo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 2025-2030 inawakera zaidi.

Ilani za uchaguzi zilizopita, ziliwakera pia,
ila kasi ya utekelezaji wa ilani hii ya 2025-2030 inawakera zaidi mabwenyenye ya magharibi na hivi sasa wana weweseka na kujaribu kutatiza utekelezaji zaidi.

Msisitetereke hata kidogo, maamuzi yao ni hasara kwao na wananchi wao. Sisi kama taifa huru, tuendelee kuchapa kazi kwa bidii, weledi na maarifa zaidi na kuwaletea waTanzania maendeleo, ili mabeberu wakereke zaidi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Siku 100 za Rais alizoahidi kwa mdomo wake kwenye kampeni hazijatekelezwa. Itawezekana kutekeleza maandishi ambayo baadhi ya watu alijifungia ukumbini kuandika ili wapate posho, kuetelezwa!?
 
Dar barabara mbovu Zina vilaka Kama suluali ya mchoma mkaa watoto shule michango wazazi timeelemewa hosptali ukifiwa maiti unainunua 5 milioni punguza ujuha mrevi wewe
 
Siku 100 za Rais alizoahidi kwa mdomo wake kwenye kampeni hazijatekelezwa. Itawezekana kutekeleza maandishi ambayo baadhi ya watu alijifungia ukumbini kuandika ili wapate posho, kuetelezwa!?
hufuatilii mambo ya Tz gentleman,
huenda uko influenced mno na masuala ya wafuata mkumbo 🐒
 
Taifa linalojiamini kweli halihitaji adui wa nje kuelezea matatizo yake yote ya ndani na halihitaji kelele za nje kuthibitisha mafanikio yake ya ndani.
 
Taifa linalojiamini kweli halihitaji adui wa nje kuelezea matatizo yake yote ya ndani na halihitaji kelele za nje kuthibitisha mafanikio yake ya ndani.
kwahiyo porojo kama hizo zinasaidia nini gentleman kama sio unaexpose tu jinsi usivyo jielewa na akilini mwako kumejaa malalamiko na laumu ambazo hazikusaidii chochote.

Fanya kazi kwa bidii na maarifa gentleman, uondokane na hizo fikra nonsense 🐒
 
Hii picha umenijibu ukiwa na akili timamu.

Ila haya maelezo mengine uliyo yatoa yananifanya niamini pengine una kichaa cha akili, kwahiyo kikipanda, unaanza kuropoka tu Mkuu.
 
Attachments

  • Screenshot_20260620_122240_Firefox.jpg
    Screenshot_20260620_122240_Firefox.jpg
    43.1 KB · Views: 6
Hii picha umenijibu ukiwa na akili timamu.

Ila haya maelezo mengine uliyo yatoa yananifanya niamini pengine una kichaa cha akili, kwahiyo kikipanda, unaanza kuropoka tu Mkuu.
gentleman,
daima mimi hua naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.

wachana na porojo na mafikra nonsense kama hayo 🐒
 
gentleman,
daima mimi hua naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.

wachana na porojo na mafikra nonsense kama hayo 🐒
Nashukuru sana kwa kunielewa mwanzo, kwa sasa pumzika akili yako ikae sawa tena mkuu.
 
Back
Top Bottom