Kuna pendezo jipya zaidi ya OMO ?....too easy.
..too soon.
Maridhiano ya nini na kati ya nani na nani!Kuna pendezo jipya zaidi ya OMO ?..
Huku Tanganyika ratiba ya maridhiano itatoka lini ?..
zitto junior Nguruvi3
Kuridhiana na nani na ili iweje?Kuna pendezo jipya zaidi ya OMO ?..
Huku Tanganyika ratiba ya maridhiano itatoka lini ?..
zitto junior Nguruvi3
Watawala na makundi yote yaliyoathirika wa uchaguzi wa 2025 ikiwemo vyama vya siasa na wananchi wa kawaida.Maridhiano ya nini na kati ya nani na nani!
Ccm ndio wanaoimba na kuhitaji hayo maridhiano sio hao wahaini uliyowataja wewe.Kuridhiana na nani na ili iweje?
Yaani kelele uchwara cha heche na tundu ndo kifanye nini?
Huwezi kuridhiana na wahaini!
Wanaridhiana kwasababu zipiWatawala na makundi yote yaliyoathirika wa uchaguzi wa 2025 ikiwemo vyama vya siasa na wananchi wa kawaida.
kwamba kuna mTanzania alikua anadhani kwamba ingetokea tofauti na hivyo?Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kufanya uteuzi wa jina la mwanachama anayependekezwa kushika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Uteuzi huo umefanywa na Kamati ya Uongozi Taifa ya chama hicho katika kikao maalumu kilichoketi jana, Jumatano, Septemba 16, 2026, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama, iliyopo Vuga mjini Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa leo, Septemba 17, 2026, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, uteuzi huo umezingatia Matakwa ya Ibara ya 72(3)(f) ya Katiba ya Chama hicho
Zaidi Soma Othman: ACT Wazalendo itaingia SUK kama haya yametekelezwa
Taarifa hiyo imeeleza kuwa jina la mteule huyo litawasilishwa rasmi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ili kukamilisha utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, Ibara ya 39(1), (2) na (3)
Kuna raia waliuawa,kuumizwa na chama kikubwa cha Upinzani kususia uchaguzi wa Mwaka 2025.Wanaridhiana kwasababu zipi
Swali ni kwamba waridhiane kuhusu nini? waliosusia uchaguzi ni shauri yao , vyama 16 vilishirikiKuna raia waliuawa,kuumizwa na chama kikubwa cha Upinzani kususia uchaguzi wa Mwaka 2025.
Njia ya kututoa hapa tulipokwama ni maridhiano tu
Taifa lina nyufa hili, zisipozibwa itatugharimu huko mbeleni.Swali ni kwamba waridhiane kuhusu nini? waliosusia uchaguzi ni shauri yao , vyama 16 vilishiriki
Nani anaridhiana na hao Wananchi
Sawa! swali ni kwamba ni akina nani wanakaa mezani na kuridhiana? na wanaridhiana kuhusu nini!Taifa lina nyufa hili, zisipozibwa itatugharimu huko mbeleni.
Yaliyofuata baada ya Uchaguzi (mauaji ya kinyama) hatuwezi kupotezea kama hakuna kilichojiri.
Maridhiano lazima yahusishe makundi yote muhimu kwenye jamii kama vyama vya siasa, asasi za kiraia, viongozi wa dini zote, wananchi wa kawaida n.kSawa! swali ni kwamba ni akina nani wanakaa mezani na kuridhiana? na wanaridhiana kuhusu nini!