ACT Wazalendo yazidi kuibomoa CHADEMA. Je, hizi nguvu wanazitoa wapi huku Tanzania bara?

A

ACT itaitaji miaka 15 mbele kuibomoa Chadema, chama kichanga Sana ,hamna kitu paleEti
Yaani Kwa akili za kina Ado ,Kasala ,Massabo eti mpinzani wao Ni Chadema badala ya CCM,igizo la viongozi wa Chadema Ruvuma kuhamia NGOGWE na Sasa imekuwa chaso,hawajui kuwa wale wa chaso ni waha wachache wasiyo jitambua wameende kwa mwana Kigoma mwenzao.

Akili za ACT Ni duni Sana,badala wajikite kutafuta wanachama wapya wamekalia maigizo ya siyo na tija kwao,
ACT haina wanachama bali, inawafuasi wa maalimu Sharif, siku wakianzisha au wakihamia chama kingine watabaki na nini?
 
Bandubandu humaliza gogo

Huwa najiuliza sana hiyo CDM ina wanachama wengi kiasi gani? Maana kila chama kuanzia CCM mpaka matawi yake, ili waonekane wamevuna wanachama lazima wawe ni wa CDM! Cha kushangaza sasa, CDM iliyopoteza wanachama wengi wakianza siasa na kuingia kwa wananchi utaona vyombo vya dola vikiagizwa viwahujumu ili kuficha ukweli wa nguvu ya CDM.

Ikifika wakati wa uchaguzi sasa ndio inakuwa balaa. Nguvu inayotumika kupora uchaguzi nakuihujumu ili CDM isitangazwe washindi, inakuwa kubwa mno kupita maelezo. Hapo sasa usiombe CDM ikatangaza kufanya mikutano ya hadhara, utaishia kuona hujuma za wazi kuanzia vyombo vya dola, mpaka mamlaka nyingine za kiutawala!
 
Nakuhakikishia ACT hata kwa msaada wa usalama hawawezi kabisa kuibomoa CDM.
Kama ni kuibomoa CDM angeiboma yule kichaa kwani;
aliwafunga!
aliwabambikia kesi!
Aliwaua!
aliwatesa sana!
Aliwadhulumu mno!
Lakini CDM imezidi kuimarika pamoja na uhujumu mkubwa uliofanywa!
 
Kwani imebaki na wabunge wangapi
 
Wewe ulio na wabunge wengi wamefanya nini zaidi ya kubinuka sarakasi bungeni.
 
Mimi sio mdau sana wa mambo ya siasa lakini Chadema kama waliweza ku survive enzi zile ambazo wengi waliunga juhudi sijui kwa sasa hivi utawaweza vipi!!
 
ACT haina haja ya kuibomoa Chadema kwani sera na mpangilio wa hoja zao zinamvutia kila atakaepata fursa ya kuwasikiliza.
 
Umeongea vizuri mkuu, nyuma ya ACT Kuna Mambo mengi Sana mkuu, hakuna kitu pale,thaks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…