Kwa kweli hiki chama kimekaa kama cha kichawi kila kinapokwenda maelfu ya watu wanakiunga mkono na sasa kipo mbali sana ,inakuwa ni ile hadithi ya mpiga filimbi, kwa kweli sasa ACT Wazalendo ni tishio kubwa kwa CCM na vyama vidogo vidogo vilivyobakia, tunajua Chama kilichokuwa namba mbili badala ya CCM ni Chadema ila kwa sasa hiki chama kimejaa mapapasi na hakina wanachama wanaoweza kufanya kweli wanapohitajika na ndio tukaona kinaishia kwenye kuita vyombo vya habari kubwabwaja, viongozi wao wakizidiwa hukimbilia nchi za nje na huko huwa watangazaji wakubwa, tuseme tu wananchi wameshakichoka chama hiki CHADEMA.
Chadema kinaelekea kufa na kupotea katika mihemko ya kisiasa na Uchaguzi ujao ni vita kali kati ya CCM na ACT.
Chadema kinaelekea kufa na kupotea katika mihemko ya kisiasa na Uchaguzi ujao ni vita kali kati ya CCM na ACT.