- Thread starter
- #41
Nazidi kuwapa hongera ACT kwani sasa tunaona ni nani mpinzani wa kweli ,hivi inakuwaje mpinzani kuisifu serikali ???
Nijuavyo kisiasa Serikali ikitenda zuri au baya ,wewe mpinzani ni kupiga bomu aka dongo hapo hapo pazuri,kusifu ni kujidhalilisha .
Mnasifu kwa lipi ?
Kutolewa kifungoni ?
Kupewa passport nyingine ? Wakati ni haki yako !