Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
- Thread starter
-
- #21
Kiumbe[emoji3] [emoji3] hawa viumbe ni hatari sana hapa JFMi kuna mtu Cc kan'tangaze lazima nimuone huyu kiumbe kila siku Yaani
Hahaha karibu mkuu tukeshe wote humu.. uwe umevuna lknww too much
Nick Mutuma[emoji4][emoji4][emoji4]Mkuu set auto-reply hata kama simu imezima ukiqoutiwa inajireply. Dunia imehama.
NB: wengine usituone tunashinda humu tumeajiriwa humu humu..wake wetu wamo humuhumu.
Umeshawahi kuangalia The 100.?Nick Mutuma[emoji4][emoji4][emoji4]
Sema nampendaga Sana yaani [emoji3][emoji3][emoji3]Kiumbe[emoji3] [emoji3] hawa viumbe ni hatari sana hapa JF
Hii inakuaje Daby?Hiyo unawafuata mod wanakuwekea
Kuna muda naweza kukosa muda wa kuingia humu ila sijawahi kukuta hawa viumbe wako Offline hapa JF.
Daby.
BAK.
Saint Ivuga.
Iceman 3D.
Miss Natafuta.
Mshana Jr.
Kisu cha Ngariba.
Nyie viumbe huwa mnamudu vipi kuwa online muda wote ?
Sijui kwa upande wako!
You have forgotten me. ,( lugha ya malkia Elizabeth)
Yaani kama kwenye mitandao kama airtel hata kama haupo hewaniHii inakuaje Daby?
Nipe faida niwekewe namie
Ulikuwa umepotea sana mkuu, karibu kundini (Martial)Nimetoka kula Ban ya week 1
HAHAHAHAHHA unajua hamnazoo weweeeeeeMkuu set auto-reply hata kama simu imezima ukiqoutiwa inajireply. Dunia imehama.
NB: wengine usituone tunashinda humu tumeajiriwa humu humu..wake wetu wamo humuhumu.
Yah, nashukuru kwa kuongezeaYou have forgotten me. ,( lugha ya malkia Elizabeth)
YapUmeshawahi kuangalia The 100.?
Huwezi amini Nilimpenda yule mtoto aliyeigiza kama raven hadi nikawa namuota. Sasa ulivyomtaja mutum wa sugar nikamkumbuka huyo raven
Haha... jamaa si anataka kuwa online anytime.HAHAHAHAHHA unajua hamnazoo weweeeeee
Gademu... hapo red ushaniharibia deal... nlikuwa nshaanza kutegesha mingo.Yaani kama kwenye mitandao kama airtel hata kama haupo hewani
Mtu akikupigia unaambiwa mtumiaji wa simu unayempigia hapatikani kwasasa. That's auto-sound.
Kwahiyo hiyo ukiwekewa hata kama haupo online account yenyewe itaanzisha thread.. itajibu pm n.k
Angalizo: hii bado haijagunduliwa labda karne inayokuja.
nimecheka kweli tena sanaaaHaha... jamaa si anataka kuwa online anytime.
Swahiba dunia imekuwa kijiji... [emoji16][emoji16]Gademu... hapo red ushaniharibia deal... nlikuwa nshaanza kutegesha mingo.
Swahiba mambo gani haya unanifanyia?
Wewe hautaki auto reply! !nimecheka kweli tena sanaaa