Active Member JF

Mbona maswali mengi.....!
si umuacha ajibu?
unaniogopa kwani .. mi sina sumu kwa husna.
ila kwa kasinde aisee pale umeopoa madam wa nguvu sanaa.
mimi nilipanga niende kwa mganga.

ila wewe 100% unatumia ndumba
alikupa msocha au mzee kinala
 
wengine sawa ila huyu daby yuko hapa kutongoza tongoza tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha wewee....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
si umuacha ajibu?
unaniogopa kwani .. mi sina sumu kwa husna.
ila kwa kasinde aisee pale umeopoa madam wa nguvu sanaa.
mimi nilipanga niende kwa mganga.

ila wewe 100% unatumia ndumba
alikupa msocha au mzee kinala
Wewe ni chizi wewe haha...

Ongea na husna ila usije ukanitesea X wangu.
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Ina maana mimi huwa hunioni hapa muda wote, nimechukia sana kutokutajwa na Raphael wa Ureno
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
wewe jamaa ni hatariii yani umemtongoza kasie hadi kalainika... aisee wewe jamaa una fix za hali ya juu.
naongea na paw mod mmoja hivi akutangwe ban la maisha.
yule mdada nampenda kama nini..
Hapana chezea daby banaa
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Ina maana mimi huwa hunioni hapa muda wote, nimechukia sana kutokutajwa na Raphael wa Ureno
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
Heheeeeheiiii unapenda maujikooo
 
wewe jamaa ni hatariii yani umemtongoza kasie hadi kalainika... aisee wewe jamaa una fix za hali ya juu.
naongea na paw mod mmoja hivi akutangwe ban la maisha.
yule mdada nampenda kama nini..
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…