Active Member JF

Active Member JF

Mkuu set auto-reply hata kama simu imezima ukiqoutiwa inajireply. Dunia imehama.

NB: wengine usituone tunashinda humu tumeajiriwa humu humu..wake wetu wamo humuhumu.
Nick Mutuma[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Hii inakuaje Daby?

Nipe faida niwekewe namie
Yaani kama kwenye mitandao kama airtel hata kama haupo hewani

Mtu akikupigia unaambiwa mtumiaji wa simu unayempigia hapatikani kwasasa. That's auto-sound.

Kwahiyo hiyo ukiwekewa hata kama haupo online account yenyewe itaanzisha thread.. itajibu pm n.k

Angalizo: hii bado haijagunduliwa labda karne inayokuja.
 
Gademu... hapo red ushaniharibia deal... nlikuwa nshaanza kutegesha mingo.

Swahiba mambo gani haya unanifanyia?
 
Back
Top Bottom