Active Member JF

Active Member JF

Kuna muda naweza kukosa muda wa kuingia humu ila sijawahi kukuta hawa viumbe wako Offline hapa JF.

Daby.
BAK.
Saint Ivuga.
Iceman 3D.
Miss Natafuta.
Mshana Jr.
Kisu cha Ngariba.

Nyie viumbe huwa mnamudu vipi kuwa online muda wote ?

Sijui kwa upande wako!
Hebu specialize mkuu
 
Hivi wanamuduje mambo mengine ya maisha yao mtu masaa yote upo online jf ???
Yani mtu ile amepost uzi tu the first to reply huyoo kama sio wakwanza unamkuta kwenye top ten first duhhhhhhhhhhh
 
Wote tisa mmoja apo ni nyokko asee katia fora kwakweli
 
Hivi wanamuduje mambo mengine ya maisha yao mtu masaa yote upo online jf ???
Yani mtu ile amepost uzi tu the first to reply huyoo kama sio wakwanza unamkuta kwenye top ten first duhhhhhhhhhhh
Kwa mfano kama mimi nimeshakuwa addicted,
Mara nyingi nipo JF kupunguza stress na kusogeza siku.
Kuna majukwaa kama ya mahusiano na chit chat sio ya kuyachukulia serious sana.
All whats are happening are jokes japo kuna maushauri ya maana pia
 
Back
Top Bottom