Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Maelezo yake ni dhahiri ya kupikwa, hayana uhalisia hata kidogo. Script haikuandaliwa vizuri.
Kwakua mwanaharakati huyo amekua akipuuzwa kwa muda mrefu katika masuala mbalimbali anayojaribu kuyaibua kwa manufaa yake binafsi na nia zake ovu, ameona kutumia njia hiyo ya kujiteka ili kuvuta huruma na hisia za watu na mataifa mbalimbali na kujaribu kumfuatilia baada ya kumpuuza sana kwa muda mrefu, akaamua kufanya hivyo ili kuonyesha hila zake dhidi ya Tanzania na kufikisha ujumbe wa chuki alionao tangu zamani dhidi ya serikali sikivu ya CCM, na nchi ya uzao wake Tanzania.
Hata hivyo, anajaribu kuchonganisha na kuharibu uhusiano wa kidiplomasia, kindugu na kiusalama, baina ya serikali ya Kenya na Tanzania, na kwamba zinashirikiana katika kudhoofisha usalama wa wana Africa Mashariki, na kwamba serikali ya Kenya ni dhaifu sana katika usalama wa wanao ishi humo, kiasi kwamba nchi yoyote Afrika Mashariki inaweza kuingia Kenya na kufanya chochote hususani kukamata watu na kufanya uhalifu kenya bila kufanywa chochote na mamlaka za kiusalama za serikali ya Kenya.
Soma Pia:
Ikibidi watimuliwe na warudishwe makwao kwa lazima katika nchi za uzao wao.
Mungu Ibariki Tanzania

- Maria Sarungi: Naamini mtanzania anahusika juu ya kutekwa kwangu
- Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi