Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
kwanin?Adstera hamna kitu mkuu
Ahsante kwa kusoma piaAhsante Kwa taarifa...
ShukranJamani habari nimekua nikitafuta kampuni bora ya matangazo ambayo ingenilipa vizuri kama google adsense hii ni baada ya kukataliwa na google adsense kutokana content language
ambayo ni kiswahili nimejiunga mingi ila ambayo niliipenda ni
ADSTERRA
huyu alikuwa wa moto mpaka naearn my first $1 niliona mafanikio
uzi huu nimeuleta kwa ambao hawajapata matangazo katika blog au tovuti
SIFAZAO:
NO MINIMUM VISITORS yan hata ukiwa na views 0 safi tu
INSTANT APROVAL yan hapo hapo unapojiunga unakubaliwa
link ya kujiunga hiii apo
kwa ambao hawana blog nitapaste link hapo badae mtakapo itaji mjifunze kutengeneza.
Asante broJamani habari nimekua nikitafuta kampuni bora ya matangazo ambayo ingenilipa vizuri kama google adsense hii ni baada ya kukataliwa na google adsense kutokana content language
ambayo ni kiswahili nimejiunga mingi ila ambayo niliipenda ni
ADSTERRA
huyu alikuwa wa moto mpaka naearn my first $1 niliona mafanikio
uzi huu nimeuleta kwa ambao hawajapata matangazo katika blog au tovuti
SIFAZAO:
NO MINIMUM VISITORS yan hata ukiwa na views 0 safi tu
INSTANT APROVAL yan hapo hapo unapojiunga unakubaliwa
link ya kujiunga hiii apo
kwa ambao hawana blog nitapaste link hapo badae mtakapo itaji mjifunze kutengeneza.
kama tovuti yako ina muonekano mzuri nashauri utumie ADCASH ni bora ZAIDIAsante bro
Adcash usipo andika two days wanaondoa matangazo alafu unaanza moja washawahi nifutia ads wakati Kuna pesa,, ila wapo vizurikama tovuti yako ina muonekano mzuri nashauri utumie ADCASH ni bora ZAIDI
Adsterra cpm ndogo sanaAdcash usipo andika two days wanaondoa matangazo alafu unaanza moja washawahi nifutia ads wakati Kuna pesa,, ila wapo vizuri
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Bila shaka watakukubalia subiri kuvuta mpungaAdsterra cpm ndogo sana
Mimi ninebadili lugha za content na site kwa ujumla nimeapply adsense ndo nangojea majibu tu
Vp unaweza share link ya tovuti yako nikaitembelea
Ndo maana Jana nilimuta post zako kwa English... Adsense wanatubana wapenda kiswaziAdsterra cpm ndogo sana
Mimi ninebadili lugha za content na site kwa ujumla nimeapply adsense ndo nangojea majibu tu
Vp unaweza share link ya tovuti yako nikaitembelea
Adsterra cpm ndogo sana
Mimi ninebadili lugha za content na site kwa ujumla nimeapply adsense ndo nangojea majibu tu
Vp unaweza share link ya tovuti yako nikaitembelea
Sana mkuuHii CPM KWENYE ADSENSE IMEKUWA KIPENGELE
Ndio ila baada ya kukubaliwa narudi kiswahiliNdo maana Jana nilimuta post zako kwa English... Adsense wanatubana wapenda kiswazi
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hii blogu yako nimeielewa sana ipo good kuliko yangu
Nataka kuset muonekano wa picha maana hazionekani vizuri kwa baadhi ya browser itabidi nichange themes
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app