Haya Matangazo ya Kuclick post yanakudirect kwingne ndo ad cash, kama ndo yenyewe hamna kitu apo, kwa Usumbufu kwa msomaji,
Nataka kuset muonekano wa picha maana hazionekani vizuri kwa baadhi ya browser itabidi nichange themes
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app