Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Designing ipo vyema!
Unge add kipengele cha latest post ziwe zinaji add post mpya automatically hapo kwenye home page.

Na hizo post baada ya picha ingefata short description yenye maneno mengi kidogo yakifuatiwa na read more!

Unailipia web hosting hii blog yako , au umelipia domain name registration tu?
Je ni blogger or wordpress?
Hivi Myposeo inamilikiwa na Google?
 
Asante kwa ushauri mkuu. Nitaufanyia kazi. Hii ni blogger. Nimelipia domain tu kwa miaka miwili sijalipia hosting.
Kuna umuhimu wa kulipia hosting?
Kama unafanya kwa kujifunza tu hakuna haja! Lakini kama ni ku make money ni vyema ukahost blog yako mwenyewe na pia ungehamia wordpress Mkuu naona ni bora zaidi kwa "mtazamo wangu"
 
Sifahamu mkuu
Maana nafanya project ya Google lab, inahusiana kulocalise keywords, meta tag na meta description za pages zao Google wenyewe. Wanasema tutumie Mypaseo kutafanya keyword searching na siyo platform nyingine yoyote.
 
Kama unafanya kwa kujifunza tu hakuna haja! Lakini kama ni ku make money ni vyema ukahost blog yako mwenyewe na pia ungehamia wordpress Mkuu naona ni bora zaidi kwa "mtazamo wangu"
Ntakuja nijaribu wordpress nione mkuu
 
Maana nafanya project ya Google lab, inahusiana kulocalise keywords, meta tag na meta description za pages zao Google wenyewe. Wanasema tutumie Mypaseo kutafanya keyword searching na siyo platform nyingine yoyote.
Itabidi niifuatilie hii
 
Itabidi niifuatilie hii
Sema ni yakulipia wanatuoa account zikiwa zina 100000 credits, mra ya kwanza mpaka namaliza kusearch keywords za page 3 kila page keywords 3, ilikuwa imebaki 2000 tu.
 
Maana nafanya project ya Google lab, inahusiana kulocalise keywords, meta tag na meta description za pages zao Google wenyewe. Wanasema tutumie Mypaseo kutafanya keyword searching na siyo platform nyingine yoyote.
Im interested na hio mypaseo, mpk Google wameirecomend SEO value yake inaweza ikawa kubwa kukompare na hizi nyingine.

Najaribu kuitafuta siipati mkuu, naomba msaada.
 
Mkuu ambayo ni ya Google wenyewe kumbe ni adword planner. Myposeo siyo ya kwao na ina shida siku ya tatu wametuhamishia kwenye yao
Hio adword planner naifahamu ni nzuri sana kwa ajili ya kuangalia trend ya SERP. Nimewapenda myposeo kwenye site audit wako vizuri sana
 
Wakuu nina swali, nataka kufungua blog ambayo itakuwa inatoa content kwa lugha mbili yani kiswahili na kiingreza. Ila sasa nasikia goolge adsence inazingua kwenye content za kiswahili. Sasa nataka kufungua blog ya kiingereza niiombee google adsence then nifungue subdirectory ya main blog itakayokuwa na content ya kiswahili. Je hii itaweza kufanya google adsence isione content za kiswahili kwenye subdirectory ya main bog?
 
Huu uzi nimeupenda sana, mbarikiwe sana wachangiaji
 
Back
Top Bottom