Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Hivi Myposeo inamilikiwa na Google?Designing ipo vyema!
Unge add kipengele cha latest post ziwe zinaji add post mpya automatically hapo kwenye home page.
Na hizo post baada ya picha ingefata short description yenye maneno mengi kidogo yakifuatiwa na read more!
Unailipia web hosting hii blog yako , au umelipia domain name registration tu?
Je ni blogger or wordpress?