Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Jina la blog Yako ni refu sana lakini haiwezi zuia kitu.. mkulu wa nchito sijui inchito ... Ahahaha nimesoma swax advance

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mkulu wa nchito,haaaaa.
Samahani,kwa blog yangu hii ya kiswahili nina post 12 na traffic ya visitors 430 kwa mwezi huu.
Niweke matangazo ya kampuni gani nitapata ela..?,maana propperads na Adstera zinanizingua,sijapata na dollar 1 nina 0.01 mwezi mzima.
Au mimi ndo nazingua,naomba unishauri hapa Mkulu wa Nchito.
 
Adcash lakini adcash wanapenda contents ziwe nyingi ndo wasumbufu hatari... Andika kizungu /kireno/France alafu omba adsense

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Ninayo ya kizungu,mpaka sasa ina visitors 211 ndani ya wiki tatu ndo nina post 6.Nataka zifike hata 20 ili niiombee AdSense.
 
Jamani habari nimekua nikitafuta kampuni bora ya matangazo ambayo ingenilipa vizuri kama google adsense hii ni baada ya kukataliwa na google adsense kutokana content language
ambayo ni kiswahili nimejiunga mingi ila ambayo niliipenda ni
ADSTERRA
huyu alikuwa wa moto mpaka naearn my first $1 niliona mafanikio
uzi huu nimeuleta kwa ambao hawajapata matangazo katika blog au tovuti
SIFAZAO:
NO MINIMUM VISITORS yan hata ukiwa na views 0 safi tu
INSTANT APROVAL yan hapo hapo unapojiunga unakubaliwa
link ya kujiunga hiii apo

kwa ambao hawana blog nitapaste link hapo badae mtakapo itaji mjifunze kutengeneza.
Sijaelewa
 
Back
Top Bottom