Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
- Thread starter
-
- #181
Tumia blogger ni bure alafu nunua domain Godady gharama haitazidi 4000 kwa mwaka wa kwanzaUtaratibu wa kupata domain name ukoje mkuu...
Maana mimi nikitaka kutengeneza yangu kwa hao services provider gharama ni kubwa sana
Direct links zipo ila popunder adsense hawaruhusuKwa blog ya movie's inafaa proper ads na adsterra Tena yale ma popunder na direct link
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Nilimaanisha ads za propellerDirect links zipo ila popunder adsense hawaruhusu
Ninasikilizia tena nina post 15 tu sijui kama watakubali hawa watu
Nanunua domain alafu na connect na blogger?Tumia blogger ni bure alafu nunua domain Godady gharama haitazidi 4000 kwa mwaka wa kwanza
Ads network Gani?Ninasikilizia tena nina post 15 tu sijui kama watakubali hawa watu
@Binadamu mtakatifu anajua juu ya haya mambo nahisi atakupa jibu sahihiHivi facebook ads wanakubali contents za kiswahili?
Vp umenunua Domain mpya iweke tuitembeleeAds network Gani?
Me propeller wameikubali blog yangu sijui kwa vigezo Gani ila Jana wamenitumia email
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Duuuh! Sijawahi kutumia ila nasikia ni wanamashart mengi@Binadamu mtakatifu anajua juu ya haya mambo nahisi atakupa jibu sahihi
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
NdioNanunua domain alafu na connect na blogger?
Me sitaki kabisa domain, ni mwendo wa subdomain miaka yoteVp umenunua Domain mpya iweke tuitembelee
Mimi nasubiria Adsense kote propellerad nilishapita nao
Duh kwani propellerads wanaruhusu subdomain siku iziMe sitaki kabisa domain, ni mwendo wa subdomain miaka yote
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mimi ya kwangu ilikuwa verified kipindi cha nyuma huko enzi ambazo wanaruhusu subdomain ila sikutaka kuweka Sasa Jana nikaamua kuiamshaDuh kwani propellerads wanaruhusu subdomain siku izi
Blogu yako iko poa sanaMimi ya kwangu ilikuwa verified kipindi cha nyuma huko enzi ambazo wanaruhusu subdomain ila sikutaka kuweka Sasa Jana nikaamua kuiamsha
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Tembelea huakikishe
POLDAVY255 - Your source for Entertainment news and Updates
MUSICIAN INFOS, SPORTS, MUSIC DOWNLOADING, MOVIE REVIEWS & STORIES, TECHNOLOGY TIPS, FASHION ETChailedavy255.blogspot.com
Mkulu wa nchito,haaaaa.Jina la blog Yako ni refu sana lakini haiwezi zuia kitu.. mkulu wa nchito sijui inchito ... Ahahaha nimesoma swax advance
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Adcash lakini adcash wanapenda contents ziwe nyingi ndo wasumbufu hatari... Andika kizungu /kireno/France alafu omba adsenseMkulu wa nchito,haaaaa.
Samahani,kwa blog yangu hii ya kiswahili nina post 12 na traffic ya visitors 430 kwa mwezi huu.
Niweke matangazo ya kampuni gani nitapata ela..?,maana propperads na Adstera zinanizingua,sijapata na dollar 1 nina 0.01 mwezi mzima.
Au mimi ndo nazingua,naomba unishauri hapa Mkulu wa Nchito.
SijaelewaJamani habari nimekua nikitafuta kampuni bora ya matangazo ambayo ingenilipa vizuri kama google adsense hii ni baada ya kukataliwa na google adsense kutokana content language
ambayo ni kiswahili nimejiunga mingi ila ambayo niliipenda ni
ADSTERRA
huyu alikuwa wa moto mpaka naearn my first $1 niliona mafanikio
uzi huu nimeuleta kwa ambao hawajapata matangazo katika blog au tovuti
SIFAZAO:
NO MINIMUM VISITORS yan hata ukiwa na views 0 safi tu
INSTANT APROVAL yan hapo hapo unapojiunga unakubaliwa
link ya kujiunga hiii apo
kwa ambao hawana blog nitapaste link hapo badae mtakapo itaji mjifunze kutengeneza.