Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
- Thread starter
-
- #241
Sawa Mkuu najaribu hilo karibuIpo safi japo kuwa mifumo ya PC yangu inadai kuwa site Yako si salama, iwekee https
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
View attachment 2139608
Hongera hapo kuwekeza juhudi, muda na pesa inawezeka ukapata watembeleaji na wadau wengi Sana.niuzoefu tu ila nitakapo pata watu itabidi ninunue
See you on the top Kama ukijitangaza sana, hata kupitia blog yako kujichanganya kwenye majukwaa mbalimbali na kujitambulisha kuwa wewe ni mmiliki wa forum husika lazima upate wadau ngoja nijiunge baadae mkuu japokuwa PC yangu automatic inakataa kujiunga na unsecured sitesSawa Mkuu najaribu hilo karibu
Woyoooh (in Mzee wa mjegejege voice )Mkuu ahsante japo leo ninaenda kuweka https ila nakuhakikishia data au email za watu zipo salama nitakupa manyota kama member wangu wa kwanza kabisa....
Kama inawezekana kwenye rangi ubadili iwe white maana hiyo dark si nzuri Sana.Karibu
Hapo sawa basi jaribu kuangalia alternative walau kuwe na options.Nitafikiria Maana dark ni myfavorite colour
Unashauri rangi gani nyeusi na bluu ,kijani au greyHapo sawa basi jaribu kuangalia alternative walau kuwe na options.
Iwe nyeupe palipo na maandishi harafu maandishi automatically yawe meusi.Unashauri rangi gani nyeusi na bluu ,kijani au grey
$5Naweza kutoa pesa kuanzia sh. ngapi Adsterra na Propellerads?
Kuanzia dola 5 kama 11,000 elfu flani hiviNaweza kutoa pesa kuanzia sh. ngapi Adsterra na Propellerads?
Bado mkuuJaman wakuu naombeni mnifanyie review kwenye website yang kama itakubaliwa na adsense ππ Tech-study.
Kwan shida ipo wapi naomba nielekezeBado mkuu
NopeWakuu popa ads mnawazungumziaje awa jamaa maana jana wameverify blog yangu
It depend na adtype kutoka adsterraJe Adsense naweza kuiweka pamoja na adsstera na isizingue?