Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Sawa Mkuu najaribu hilo karibu
See you on the top Kama ukijitangaza sana, hata kupitia blog yako kujichanganya kwenye majukwaa mbalimbali na kujitambulisha kuwa wewe ni mmiliki wa forum husika lazima upate wadau ngoja nijiunge baadae mkuu japokuwa PC yangu automatic inakataa kujiunga na unsecured sites

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom