Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
Nimetumia blogger mkuuhapo nitakusaidiaje wakati ujasema kuwa umecode, umetumia wordpress, blogger , joomla etc
Great nenda kwenye theme kisha edit htmlN
Nimetumia blogger mkuu
Hapo na kwama mkuu ni edit vip maana nimejaribu kupaste code kwenye website zipo tu akuna picha zozote zinazo tokeaGreat nenda kwenye theme kisha edit html
Maelezo hayajitoshelezi umepaste sehemu gani ya code , ni code za nini?Hapo na kwama mkuu ni edit vip maana nimejaribu kupaste code kwenye website zipo tu akuna picha zozote zinazo tokea
Code nimetumiwa naMaelezo hayajitoshelezi umepaste sehemu gani ya code , ni code za nini?
Code nimetumiwa na adsterra nimeambiwa ni paste kwenye website yangu nimeshapaste lakini akuna kitu chochote kilichobadilikaMaelezo hayajitoshelezi umepaste sehemu gani ya code , ni code za nini?
kama ni adsterra ninda katika layout kisha add widget ya javascript na upaste code zakoCode nimetumiwa na
Code nimetumiwa na adsterra nimeambiwa ni paste kwenye website yangu nimeshapaste lakini akuna kitu chochote kilichobadilika
Nenda kajifunze html ni markup language ni vizuri kuwa na idea ya font web desing japo kidogo katika blogger ikiwa unatengeneza mwenyewe kwani inaweza saidia kuunda feature nyinginePia kuusu kupaste kwenye html bado sijajua inakuaje hapo
Nimescreenshoot hapo juu naomba msaada sehemu ya kupaste👆👆👆Nenda kajifunze html ni markup language ni vizuri kuwa na idea ya font web desing japo kidogo katika blogger ikiwa unatengeneza mwenyewe kwani inaweza saidia kuunda feature nyingine
hapohapo kwenye mandhaliNimescreenshoot hapo juu naomba msaada sehemu ya kupaste👆👆👆
Una paste hiyo code yote kwenye htmlhapohapo kwenye mandhali
Lakini nikifungua nakuta code ni nyingi kwenye html hapo ndo changamotohapohapo kwenye mandhali
Tafuta mtu akufanyie kaziLakini nikifungua nakuta code ni nyingi kwenye html hapo ndo changamoto
Haa shukrani mkuuTafuta mtu akufanyie kazi
Hiyo kazi huiwezi au kama unataka tafuta tutorial youtube au zama mazima kupata basics za web developingHaa shukrani mkuu
Sawa ngoja nicheck you tubeHiyo kazi huiwezi au kama unataka tafuta tutorial youtube au zama mazima kupata basics za web developing
Fanya hivi....Hapo na kwama mkuu ni edit vip maana nimejaribu kupaste code kwenye website zipo tu akuna picha zozote zinazo tokea
Sorry mkuu una paste hapo katikati kwenye head au afterFanya hivi....
<head>
code za matangazo
</head>
kisha nenda kapest
kama hujaelewa uliza...
Sorry mkuu una paste hapo katikati kwenye head au after