Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Code nimetumiwa na
Code nimetumiwa na adsterra nimeambiwa ni paste kwenye website yangu nimeshapaste lakini akuna kitu chochote kilichobadilika
kama ni adsterra ninda katika layout kisha add widget ya javascript na upaste code zako

kisha save hakikisha hauedit hizo code weka kama zilivyo kwa kuongezea kama code za ads ni za popunder na na inpage push kazupaste kwenye html juu tu baada ya closing body tag ni vizuri kuwa na comment ya kueleza kuhusu code

No more response
 
Screenshot_20220508_125807.jpg
 
Back
Top Bottom