Ndiyo!Sorry mkuu una paste hapo katikati kwenye head au after
Alisema anatumia blogger njia rahisi ni kwenye layout kisha add javascript widget na kuweka code zakeFanya hivi....
<head>
code za matangazo
</head>
kisha nenda kapest
kama hujaelewa uliza...
Hivi hatoelewa pili blogger yake inaongea kiswahiliSoma maelezo vizuri kwenye website ya adsterra. Kuna maelezo ya jinsi ya kupaste hizo code kwenye html
Ingia Theme >> Customize >>Edit HTML
Sawa shukrani naomba nisaidieAlisema anatumia blogger njia rahisi ni kwenye layout kisha add javascript widget na kuweka code zake
Ila kama hatojali nimsaidie kuweka izo ads
Digging deeper
Njoo PMSawa shukrani naomba nisaidie
Hili jambo kaelekezwa zaidi ya mara 100M+ hajaweza so tunamsaidia mwanetu 😂😂😂DM yanini?
Wekeni vitu hadharani ili nasi tuokoteze
YaapKwahiyo Kama Ivi sio Tourism In African Country
Pambana freenom is no more availableHii Tricks Of Making Money Online ina ile free domain ya freenom napata tabu kuipata ile site map ili nikaiadd kwenye bing nifanyeje
Mkuu, hivi template nzuri za blogger naweza kupata wapi. Maana nimeanza kufanya blogging hivi karibuni najifunza funza kila nikipata muda. Unahisi hii tempale niliyotumia hapa ni nzuri, bado niko kwenye ujenzi na mambo mengi nasoma hapa kwenye hii thread naweka kama draft ili nikipata muda ndo nifanye editing. Healthy Lifestyles naomba unipe mrejesho kuhusu hii templateAdsterra cpm ndogo sana
Mimi ninebadili lugha za content na site kwa ujumla nimeapply adsense ndo nangojea majibu tu
Vp unaweza share link ya tovuti yako nikaitembelea
Mkuu, hivi template nzuri za blogger naweza kupata wapi. Maana nimeanza kufanya blogging hivi karibuni najifunza funza kila nikipata muda. Unahisi hii tempale niliyotumia hapa ni nzuri, bado niko kwenye ujenzi na mambo mengi nasoma hapa kwenye hii thread naweka kama draft ili nikipata muda ndo nifanye editing. Healthy Lifestyles naomba unipe mrejesho kuhusu hii template
Asante sana mkuu kwa feedbackMuonekano wa juu wa hii blog ni mzuri mno kwa mimi pambania mkuu
Designing ipo vyema!Mkuu, hivi template nzuri za blogger naweza kupata wapi. Maana nimeanza kufanya blogging hivi karibuni najifunza funza kila nikipata muda. Unahisi hii tempale niliyotumia hapa ni nzuri, bado niko kwenye ujenzi na mambo mengi nasoma hapa kwenye hii thread naweka kama draft ili nikipata muda ndo nifanye editing. Healthy Lifestyles naomba unipe mrejesho kuhusu hii template
Asante kwa ushauri mkuu. Nitaufanyia kazi. Hii ni blogger. Nimelipia domain tu kwa miaka miwili sijalipia hosting.Designing ipo vyema!
Unge add kipengele cha latest post ziwe zinaji add post mpya automatically hapo kwenye home page.
Na hizo post baada ya picha ingefata short description yenye maneno mengi kidogo yakifuatiwa na read more!
Unailipia web hosting hii blog yako , au umelipia domain name registration tu?
Je ni blogger or wordpress?
Blogger huwa hailipiwagi hosting mkuu. Ni bure. So huna haja ya kuangaika na hosting.Asante kwa ushauri mkuu. Nitaufanyia kazi. Hii ni blogger. Nimelipia domain tu kwa miaka miwili sijalipia hosting.
Kuna umuhimu wa kulipia hosting?
Asante kwa tip, nilikuwa sijalipia nililipia domain tuBlogger huwa hailipiwagi hosting mkuu. Ni bure. So huna haja ya kuangaika na hosting.