Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Sorry mkuu una paste hapo katikati kwenye head au after
Ndiyo!
yaani code za matangazo unazipest katikati ya HEAD kisha unazikopi tena kisha unaenda kupest kwenye web yako.....
Code za matangazo zinatakiwa zikae katikati ya HEAD
 
Adsterra cpm ndogo sana

Mimi ninebadili lugha za content na site kwa ujumla nimeapply adsense ndo nangojea majibu tu

Vp unaweza share link ya tovuti yako nikaitembelea
Mkuu, hivi template nzuri za blogger naweza kupata wapi. Maana nimeanza kufanya blogging hivi karibuni najifunza funza kila nikipata muda. Unahisi hii tempale niliyotumia hapa ni nzuri, bado niko kwenye ujenzi na mambo mengi nasoma hapa kwenye hii thread naweka kama draft ili nikipata muda ndo nifanye editing. Healthy Lifestyles naomba unipe mrejesho kuhusu hii template
 
Muonekano wa juu wa hii blog ni mzuri mno kwa mimi pambania mkuu
 
Mkuu, hivi template nzuri za blogger naweza kupata wapi. Maana nimeanza kufanya blogging hivi karibuni najifunza funza kila nikipata muda. Unahisi hii tempale niliyotumia hapa ni nzuri, bado niko kwenye ujenzi na mambo mengi nasoma hapa kwenye hii thread naweka kama draft ili nikipata muda ndo nifanye editing. Healthy Lifestyles naomba unipe mrejesho kuhusu hii template
Designing ipo vyema!
Unge add kipengele cha latest post ziwe zinaji add post mpya automatically hapo kwenye home page.

Na hizo post baada ya picha ingefata short description yenye maneno mengi kidogo yakifuatiwa na read more!

Unailipia web hosting hii blog yako , au umelipia domain name registration tu?
Je ni blogger or wordpress?
 
Asante kwa ushauri mkuu. Nitaufanyia kazi. Hii ni blogger. Nimelipia domain tu kwa miaka miwili sijalipia hosting.
Kuna umuhimu wa kulipia hosting?
 
Blogger huwa hailipiwagi hosting mkuu. Ni bure. So huna haja ya kuangaika na hosting.
 
Back
Top Bottom