Hivi Myposeo inamilikiwa na Google?Designing ipo vyema!
Unge add kipengele cha latest post ziwe zinaji add post mpya automatically hapo kwenye home page.
Na hizo post baada ya picha ingefata short description yenye maneno mengi kidogo yakifuatiwa na read more!
Unailipia web hosting hii blog yako , au umelipia domain name registration tu?
Je ni blogger or wordpress?
Kama unafanya kwa kujifunza tu hakuna haja! Lakini kama ni ku make money ni vyema ukahost blog yako mwenyewe na pia ungehamia wordpress Mkuu naona ni bora zaidi kwa "mtazamo wangu"Asante kwa ushauri mkuu. Nitaufanyia kazi. Hii ni blogger. Nimelipia domain tu kwa miaka miwili sijalipia hosting.
Kuna umuhimu wa kulipia hosting?
Sifahamu mkuuHivi Myposeo inamilikiwa na Google?
Maana nafanya project ya Google lab, inahusiana kulocalise keywords, meta tag na meta description za pages zao Google wenyewe. Wanasema tutumie Mypaseo kutafanya keyword searching na siyo platform nyingine yoyote.Sifahamu mkuu
Ntakuja nijaribu wordpress nione mkuuKama unafanya kwa kujifunza tu hakuna haja! Lakini kama ni ku make money ni vyema ukahost blog yako mwenyewe na pia ungehamia wordpress Mkuu naona ni bora zaidi kwa "mtazamo wangu"
Itabidi niifuatilie hiiMaana nafanya project ya Google lab, inahusiana kulocalise keywords, meta tag na meta description za pages zao Google wenyewe. Wanasema tutumie Mypaseo kutafanya keyword searching na siyo platform nyingine yoyote.
Sema ni yakulipia wanatuoa account zikiwa zina 100000 credits, mra ya kwanza mpaka namaliza kusearch keywords za page 3 kila page keywords 3, ilikuwa imebaki 2000 tu.Itabidi niifuatilie hii
Im interested na hio mypaseo, mpk Google wameirecomend SEO value yake inaweza ikawa kubwa kukompare na hizi nyingine.Maana nafanya project ya Google lab, inahusiana kulocalise keywords, meta tag na meta description za pages zao Google wenyewe. Wanasema tutumie Mypaseo kutafanya keyword searching na siyo platform nyingine yoyote.
www.myposeo.com wanadai kwamba inapull Keywords kwenye Google search engine like no other tool.Im interested na hio mypaseo, mpk Google wameirecomend SEO value yake inaweza ikawa kubwa kukompare na hizi nyingine.
Najaribu kuitafuta siipati mkuu, naomba msaada.
Shukran mkuu. Ngoja niichekwww.myposeo.com wanadai kwamba inapull Keywords kwenye Google search engine like no other tool.
Itakua tamu hii ngoja kesho niijaribuwww.myposeo.com wanadai kwamba inapull Keywords kwenye Google search engine like no other tool.
Mkuu ambayo ni ya Google wenyewe kumbe ni adword planner. Myposeo siyo ya kwao na ina shida siku ya tatu wametuhamishia kwenye yaoShukran mkuu. Ngoja niichek
Hio adword planner naifahamu ni nzuri sana kwa ajili ya kuangalia trend ya SERP. Nimewapenda myposeo kwenye site audit wako vizuri sanaMkuu ambayo ni ya Google wenyewe kumbe ni adword planner. Myposeo siyo ya kwao na ina shida siku ya tatu wametuhamishia kwenye yao
Sasa ina shida wanatuhamishia adwords planner, wanasema ina shida siku ya tatu team ya mypaseo mpaka sasa haijaweza fix tatizo so tutakuwa tunatumia hyi planner kuanzia sasaHio adword planner naifahamu ni nzuri sana kwa ajili ya kuangalia trend ya SERP. Nimewapenda myposeo kwenye site audit wako vizuri sana