Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
- Thread starter
-
- #21
Hilo ni tatizo la blogger maana hata yangu hivyohivyo
Nataka kuset muonekano wa picha maana hazionekani vizuri kwa baadhi ya browser itabidi nichange themes
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Yeah nimeona kwa blog nyingi, ila Kuna baadhi ya blogs picha zimeanza kung'aa nahisi Kuna setting wanaekaHilo ni tatizo la blogger maana hata yangu hivyohivyo
Huwezi amini nilidesign mwenyewe na huwa siiamini kazi yanguHii blogu yako nimeielewa sana ipo good kuliko yangu
Wana masharti hao adsense mpaka nawaogopaNdio ila baada ya kukubaliwa narudi kiswahili
Kuna video niliangalia nilijifunza kitu ila nikikubaliwa ntakutafuta ili na wewe ujaribu
Adsense account ya nayo nilichapwa umeme 2017Kuna video niliangalia nilijifunza kitu ila nikikubaliwa ntakutafuta ili na wewe ujaribu
Niliingia kwenye website zao na kuweka details then wakanitumia confirmation na codes za kuwekaNimeipenda hii blogu na hizo protected umezipataje
Wazinguzi hatari...Daah adsense wasenge et low value content naachana nao
Nimesharudisha matangazo ya adsterra na wiki ijayo naanza kupost kiswahili tu
Adsterra si inachukua muda Sana kulipa nayo? Sema propeller wapo Bomba japo siwaelewi hawataki subdomain blogs na wengine kulipa domain kisangaNimesharudisha matangazo ya adsterra na wiki ijayo naanza kupost kiswahili tu
Ila vipi umeionaje
Ni dollar 5 tu kiwango cha chiniAdsterra si inachukua muda Sana kulipa nayo? Sema propeller wapo Bomba japo siwaelewi hawataki subdomain blogs na wengine kulipa domain kisanga
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Adcash me nawaelewa sema ukiwa unatumia poppunder ndo wanalipa fresh
Kama how much hiviAdcash me nawaelewa sema ukiwa unatumia poppunder ndo wanalipa fresh
Wanalipa kwa CPM kwa popunder tu ila ads nyigne ni CPA
Utapigwa Ban Ya nguvuNdio ila baada ya kukubaliwa narudi kiswahili
Nimekubali kushidwa nimeachana naoUtapigwa Ban Ya nguvu