Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
taabu tupu....... Ila English medium ni nzuri ukiwa unajiweza aseeh.......Hata akijitoa vipi, hiyo rafuzi sasa utacheka mpaka basi, na chuo kikuu hivyohivyo.
Hapo ulitakiwa uandike English fluency.Baadaye level of English fluent tukawa sawa.
Kingwendu ana PhD kukuzidi wewe uliyepata elimu ya kuungaunga from kajamba school(kayumba school)According to kingwendu
Utakosoa sana lakini ukweli unabaki palepale kuwa shule za serikali ni mbovu.english medium za binafsi wanajitahidi.Hapo ulitakiwa uandike English fluency.
Kwa uandishi huo, bado haujakijua Kiingereza, na usijifariji kuwa mlikuwa sawa. Hapo ni wewe, achana na watoto wako ambao nao utawapeleka baadaye kwa Ras Simba
Kwa Ras lion kuna maabara na practical tools/apparatus?Ada tuweke 1.5 m
Uniforms, usafiri na vikorokoro vingine tuweke 1ml . Jumla milioni 2.5, mara 4 ni milioni 10. Hiyo ni minimum.
Hapo hatujagusa hizi International schools ambapo kwa miaka 4 hamna hamna milioni 20 inakwenda.
Form one mpaka form four nimesoma shule ambayo kulikuwa na wanafunzi wachache waliosoma English medium schools, walichotupita ni debate tu hasa ile debate ya awali kabisa.
Wale watoto hata kumi bora ilikuwa huwezi kuwakuta. Baadaye level of English fluent tukawa sawa.
Nimeenda advance nimekutana na wanafunzi ambao primary na secondary wamesoma kwenye shule za private, hawakuwa na maajabu.
Chuo nako vilevile, hajulikani aliyesoma royal schools wala hizi mushroom schools.
Kwa ambao wamemaliza sekondari au chuo kikuu na hawajui kuongea Kiingereza vizuri Ras Simba anaweza kuwanoa kwa gharama ndogo sana chini ya laki 5 kwa muda mfupi tu.
Hata mwezi mmoja unatosha kabisa.
Sasa tuseme nini ?
English medium schools ni kwaajili ya watoto vilaza au ni kwa ajili ya wazazi wasio na uelewa?โ
Kuna team kataa shule nzuri hapo JF kwa hizo ulizowatajia lazima wazikataeBaadhi ya Shule zinatoa elimu nzuri sana kwa watoto sijui huko unakoishi wewe. Fuatilia shule za Roman, KKKT,Sabath utaona watoto walivyo na uelewa mzuri na kujengwa kimaadili.
Hahaha naona unapigania ugali wako mwalimu wa English Medium. Wabongo wameshastuka now wanawatoa watoto huko Ems wanawaleta Kayumba.Utakosoa sana lakini ukweli unabaki palepale kuwa shule za serikali ni mbovu.english medium za binafsi wanajitahidi.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHizo private hata sioni umuhimu wake NOTE. Tusomeshe watoto wetu kwenye zile shule ambazo tuna uwezo nazo achen kuiga kila January itakuwa mbaya
January hii shule zinafunguliwa wiki ijayo watu washakula ada now vichwa vinawaka moto na unakuta mtu hakujipanga now kichwa kinawaka moto tena wa welding oxyacetylene gas na kila akigusa pa kukopa riba 20% kwa mwezi matokeo yake mtu anafungua nyuzi za kumsifia ras simba na kuponda shule za privateKwa Ras lion kuna maabara na practical tools/apparatus?
Kwa Ras lion kuna Mwl. wa hesabu,kiswahili,sayansi,uraia,historia n.k.?
Kwa Ras lion kuna Mwl. wa nidhamu,michezo,patron na matron?
Kwa hiyo jibu ni kwamba wewe ndio hauna uelewa.
๐คฃKila mtu ashinde mechi zakeGharama za kumiliki gari kwa mwezi ni laki 3 za mafuta, wakati unaweza kupanda daladala kwenda na kurudi kila siku buku mbili jero na kwa mwezi 30,000 tu. Mawazo yako hayajatofautiana sana na haya.
Sio mbaya kama kila mtu akifanya kile kinachomfurahisha ๐ ๐ ๐ ili mradi tu awe na Akili timamuKuna team kataa shule nzuri hapo JF kwa hizo ulizowatajia lazima wazikatae
Kizuri gharama, ila sio vya gharama vyote ni vizuri.Mtoto kama unaweza msomesha shule nzuri msomeshe. Nimesema shule nzuri siyo shule ya gharama. Hata kama ni ya serikali ila nzuri, tumia gharama kuhakikisha anasoma hapo.
NB: Shule za kisasa si za kukariri miguu ya panzi kama kipindi chetu. Wazazi tufahamu mahitaji ya kisasa, Halafu shule siyo kujua kingereza tu. Kingereza ni lugha.
Kizuri gharama, ila sio vya gharama vyote ni vizuri.100% Fact.
" Somesha mtoto shule nzuri sio shule ya gharama"
Very powerful
Kabisa mkuuKizuri gharama, ila sio vya gharama vyote ni vizuri.
My friend Lugha yoyote duniani unajifunza muda wowote na lugha ni kuongea.Nakuhakikishia hata leo ukitaka kujifunza lugha mpya yoyote unaweza ila jitihada zako katika kuiongea ndo itafanya uwe fluent.Aseeh niwe mkweli....... watoto waliosoma English medium sijui ama private zinaelewa zinafanya watoto wake kwenye kuongea aseeh humkamatii .........
Nina mifano tele...... nimemaliza karibuni tuu chuo lakini utakuta kwenye presentation mnatafuta wanao flow fluent english regardless hajui lakini lazima muwaandae ili kuonekana vizuri ๐
St kayumba fluent English ujitoe kweli kwanza honestly mtu umesoma uchagani form one mpk fom four..... Japo masomo ni English lkn ukitoka hapo ni kichaga tuu ........ ama kii raqw ama kisukuma sana sana tunaweza kiingereza cha ku ji defend kwenye mtihan Ila tufanye seriously convo ndo tunaishia yeah..... no
wakati hizo hazitakiwi kujua english ni jambo jingine na kupata maarifa ya shuleni ni jambo jingine.....
kama english sio kivutio mweke hapo mtoto wa feza primary na bunge primary magogoni uone shoo......
Kikubwa mtoto apate elimu nzuri kwa uwezo ulionao basii....
Naunga mkono hoja ndo maana nikasema....... lazima ujitoe hasa hapo juuMy friend Lugha yoyote duniani unajifunza muda wowote na lugha ni kuongea.Nakuhakikishia hata leo ukitaka kujifunza lugha mpya yoyote unaweza ila jitihada zako katika kuiongea ndo itafanya uwe fluent.
Mimi nilikuwa najua kingereza cha kuombea maji ila nilifika hatua nikasema nataka nijue kingereza chenyewe na niwe fluent na pia niwe na confidence ya kutosha nikaweka mikakati ya kujifunza misamiati mipya na ya kisasa na kutafuta watu wa kuongea nao kupasua yai hahahaa na nimefanikiwa.
Mademu ni wazuri sana wa lugha so kama vipi unaweza ukawatumia kujibrashbrash lugha inase kichwani pia kama unamarafiki wa nje ya nchi nao jitahidi uwe unaongea nao kujiboresha zaidi.
#kupanga ni kuchagua!!!
Hivyo vitu ulivyotaja havipo kwenye shule za serikali?Kwa Ras lion kuna maabara na practical tools/apparatus?
Kwa Ras lion kuna Mwl. wa hesabu,kiswahili,sayansi,uraia,historia n.k.?
Kwa Ras lion kuna Mwl. wa nidhamu,michezo,patron na matron?
Kwa hiyo jibu ni kwamba wewe ndio hauna uelewa.